UBUYU WA MOTO lakini msiseme umetoka kwangu!

Paspii0

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2020
Posts
638
Reaction score
1,043
Huu ubuyu unaochoma hadi keyboard yangu inawaka!

Kwanza kabisa, yule mzee mwenye meno ya dhahabu wa pale ofisini unamkumbuka?
Eeh, huyo huyo! Ameshikwa red handed akishusha mzigo wa “viagra” kama pipi, eti kwa ajili ya "maisha mapya." Lakini subiri.…. demu wake si mkubwa kama mtoto wake tu? Na eti anamtumia hela za M-Pesa kila siku eti “for lunch,” kumbe ni “for launch.”

Halafu vitoto vya afu mbili (hawa wanaoonekana kama wako Form 3 lakini wako chuo) wameamua kurent Airbnb na kupeleka mibaba huko. Eti kwa shughuli za “group discussion. Oooohhhhh eti Mwaka huu hakuna cha GPA, ni UDA yaani vinamaanisha Udambwi Dambwi Association! Kulalekiii mandondooooo😆

Na sijamaliza! Kuna vijana pale hostel B wanaishi kwa masharti kila jioni lazima watume "thank you" 🙏 kwa mijimama yao. Mijimama yenyewe haicheki inatuma tuuu “allowance” kila Jumatatu kama salary! Wozaaaa

Yaani penzi siku hizi ni kama internship ya benki unafaidi hela lakini kazi huna!,mambo ni smooth wanangu

Ujumbe huu ufute ukimaliza kusoma maana nikisikika mimi ndiye nimechanja ubuyu, nitajulikana mtaani kama 'Wikileaks wa mtaa'.

Siku nyingine nikupashe full update ya “Club 666” si unajua ndiyo headquarters ya masham sham! 👌🏾

Salamu kwa wale waaminifu wachache waliobaki duniani.

Kwa roho safi,
Mwanenu Chavalikungu
 
Uujinga

1744878131501.jpg
 
Back
Top Bottom