UBUYU WA MOTO lakini msiseme umetoka kwangu!

Mbona umekaa ki code huu ujumbe?
Code gani tena ,sekondari hamkosoma kiswahili?? ,rejea somo la fasihi andishi na fasihi simulizi,au kuna shida kuchambua dhima
 
Ndugu wageni Rasmi Mwandishi wa uzi huu ni mwanaume kutoka mkoa wa Daslam
 
Hawa ndiyo wasomi wa kizazi hiki ni hatari sana!
 
Haya mambo yapo kwanzia 90's punguza ushamba dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…