papaa2015
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 411
- 101
Habari wakuu,
Huku kwetu Dodoma tumebarikiwa kuwa na miti mingi iliyojiotea ya mibuyu lakin mara nyingi baada ya mavuno tumekuwa tukiuza mikoa mingine.
Baada ya kuonja ubuyu uliowekewa vikorombwezo toka Zanzibar,nimepeata wazo la kutengeneza kitu hii na kuiuza hapa Dom ambako naamini soko ni kubwa na virgin.Lakin sina abc jinsi gani unatengenezwa!
Naomba wajasiriamali wanaofaham utengenezaji wanaisaidie.Lakin pia nimewaza kuanza kwa kuchukua mzigo zanzibar kuanza kuwazoesha wateja na kujitangaza waakat najiandaa kutengeneza mwenyewe.
Kwa wenye ufaham na hayo juu anisaidie niweze kulisukuma gurudum la maisha.Sina uwezo wa biashara kubwa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums