Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,798
Si vibya nkiwakumbusha wenzangu na mimi ambao mnahangaika sana kununua vizawadi kwa ajili ya wasichana/wavulana ambao si wenu mkiwa na mawazo siku moja watawakubalia... hizo ela ni bora ungeenda kuanzishia mradi wa kuku.!!!
Vizuri sana. Inaonekana somo ulilojifunza limekuingia, na ndio ukome kuhonga.
sio mimi banah, hii inawahusu watu wasiokua na gf/bf hata humu jf kama wewe mphamvu... miaka yote hiyo huna hata gal wa kusingiziwa
Mh. Mphamvu hebu kuja jibu hii makitu !
Naona inagusa pande za heshma! Weka heshma hapa! Unaba kinaga !
He's right Judgement, huyu binti anaishi Manzese kwa Mfuga Mbwa, nilishawahi kumlilia shida kipindi fulani, akanikazia ile mbaya wakati ndo alikuwa demu chawote mtaa mzima, na masela kibao walikuwa wanaponea kwake.
Ever since that day, ndo amenitia gundu.
Duuh ! Bora pakuche kama ndiyo hayo!
He's right Judgement, huyu binti anaishi Manzese kwa Mfuga Mbwa, nilishawahi kumlilia shida kipindi fulani, akanikazia ile mbaya wakati ndo alikuwa demu chawote mtaa mzima, na masela kibao walikuwa wanaponea kwake.
Ever since that day, ndo amenitia gundu.
pore sana mkuu, sa hata humu ujaona kabxa mwingine...
Yupo mmoja anaitwa Cantalisia, Mungu akipenda in next few days atakuwa wifiyo.
I swear!
Naona huyu Mphamvu anataka nimpe adhabu ninayomuandalia klorokwini. Hanijui vizuri huyu!!
Darling wangu Rejao mie nakuruhusu tu maana hata mie nimechoka namna Mphamvu anavoifata fata ndoa yetu lol!Naona huyu Mphamvu anataka nimpe adhabu ninayomuandalia klorokwini. Hanijui vizuri huyu!!
Yani Mphamvu hakika unahitaji maombi kumtoa huyo pepo anayekusumbua,Mi nilishakuambia baby, huyo Rojeo sijui Rejao mimi wala sina shida nae.
Sida yangu ni wewe kiliwazo changu,
Ambaye umeuteka mtima wangu,
Kwako silali sipumui...
Aaah? Usinifanye nikaanza tena kuimba mashairi bure.
Mi nilishakuambia baby, huyo Rojeo sijui Rejao mimi wala sina shida nae.
Sida yangu ni wewe kiliwazo changu,
Ambaye umeuteka mtima wangu,
Kwako silali sipumui...
Aaah? Usinifanye nikaanza tena kuimba mashairi bure.
kwel we komaa hapo hapo mwanzoni huwa wanakataa lakini badae ataregeza kamba tu, huyo rejao mwenyewe magambA afu siku hizi hawapendwi kama nini..