UCC postgraduate Diploma in IT!!

UCC postgraduate Diploma in IT!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
Nimiona tangazo tajwa ktk The Guardian..
Nahitaji kujiridhisha kuhusu hiyo shule na kozi(kwa maana ya uwepo wa walimu,uzito wake katia soko la ajira na kutambulika kwake hapa nchini)
kama kuna Aluni wowote wa hii kozi... nitashukuru mchango wenu wa mawazomtakao nipa...!!
nawasilisha!!
 
Back
Top Bottom