UCCM hufubaza na kuchakaza maendeleo wanayoleta wenyewe

UCCM hufubaza na kuchakaza maendeleo wanayoleta wenyewe

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Imekuwapo miradi mingi inayoanzishwa kama strategic kufikia dira ya Taifa 2025 pia Malengo ya kidunia 2030 lakini inashindikana kuwepo kwa muendelezo mzuri wa usimamiaji wa hiyo miradi kutokana na Nepotism/udugu/umimi(UCCM).

Kuna matukio mengi ya kuhujumu rasilimali za Taifa,miundombinu na Mikataba inayoanzishwa na kuratibiwa chini ya uongozi wa Chama tawala,huku mentainance ya miradi inayoanzishwa inakuwa ni mbovu.

tunajenga kwa pesa nyingi,mikopo na usaidizi wa kimataifa lengo kuimarisha na kukuza uhuru wa kimaendeleo lakini tunashindwa sababu ya Umimi/U-CCM.

Tunawezaje kufika kama taifa kwa kuhesabu miaka ya uhuru pasipo kudurusu Azima ya uhuru?

Tukiogopa mabadiko tutashindwa kufika tunapofikiria kupafika.

By Mhafidhina
 
Back
Top Bottom