Uchache wa abiria na mizigo wafanya SGR nchini Kenya kuendeshwa kwa hasara. Je, Tanzania tutakwepa hali hii?

Kama hali itakuwa hivi kabisa. Basi tunaweza fanya vizuri, moja ya hofu yangu pia ilikuwa umeme huo je utatosheleza kufanya operations? Kwasababu kuna kipindi fulani south Africa ilawapa kidogo changamoto. Ikabidi watu waende tena General Electric kuchukua GEU30 ambayo ni ma Diesel locomotives. All in all tunaombea mema hizi juhudi.
 
Unaijua nguvu ya ushawishi ya mashirika ya mafuta Marekani? Hawa ndiyo waliouwa treni za mijini (zaidi ya miaka 100 iliyopita). Miji mingi sana ya Marekani (miaka ya 1890 -1910) ilikuwa na mitandao ya treni za umeme, jamaa wakazing'oa ili watu wanunue model T.
 
White elephant projects!Ni ujinga wa viwango vya lami.Hizi nchi zinakurupuka,just imagine hizi nchi masikini zinaanzisha miradi ambayo haiitajiki halafu miradi inayohitajika sana kama vile maji,afya,elimu,barabara,makazi nafuu,etc inatupiliwa mbali!Haya hutokea pale ambapo umasikini wa akili ni mkubwa kuliko umasikini wa kipato
 
Sahihi. Je vipi kuhusu India, Brazil, Australia n.k maana hata wao electrification imefanyika katika maeneo baadhi.
 
Hiyo "sana" unavyoikazia sasa.Utafikiri ni kweli Tanzania itapona katika hili!
 
kenya tatizo si uchache wa abiria wala mizigo
Tatizo mradi ulijengwa kwa gharama kubwa mno,marejesho ni madogo kuliko gharama za uendeshaji
Treni ya tanzania ni ya umeme,itakimbia 220km per hour,treni ya kenya ni ya kerosene inatembea 90km per hour

Kerosene?![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo namba mbili kuwa SGR ya Tanzania imejengwa zaidi kwa fedha za ndani kuliko mkopo ni la kisiasa zaidi kwa sababu hakuna ushahidi wa kuthibitisha haya madai.Iondoe katika comment yako
 
Mkuu umepangua hii hoja kisomi sana![emoji119][emoji119][emoji119]
 
Sahihi. Je vipi kuhusu India, Brazil, Australia n.k maana hata wao electrification imefanyika katika maeneo baadhi.
Hizi nchi ulizozitaja, tofauti na ulaya, zote ni kubwa kieneo na zilishaweka mitandao yao ya reli za kawaida. Gharama za kuweka nyaya ni kubwa (mf kwenye mahandaki n.k).
 
Bei ya kusomba mizigo ama watu kutumia SGR Ya Kenya ni Mara mbili ya malori na mabasi. Sababu zikiwa
1) Uwendeshaji wa reli kutumia wachina
2) Wizi wa ticketi za abiria
3) Riba ya kinyonyaji kwa mkopo wa reli
4) Kutumia treni za kizamani ambazo zinahitaji matengenezo kila wiki
5) Bei ya diesel hubadilika kila siku

Tanzania na tumai itakwepa ujinga huu..
Bora bei ya kusomba mizigo iwe 50% chini ya malori faida ni lazima
 
Watu ni wapuuzi kweli wanafanananisha mining country na pia nchi itakayo-host gas and crude pipelines to great lakes na ushuzi wa nchi inayotegemea cargo kwa jirani!
Rwanda, Burundi, Tanzania plan joint railway project
 
More of that Reli itatukima kubeba Makontena kupeleka Bandari mpya Bandari kavu Kwala-vigwaza Malori hayatakua yakifika Mjini tena [emoji848][emoji848]
 
Ukiikosa SGR unaweza kupigwa mawe au ukaitwa msaliti
 
Endelea kujidanganya hivyo
 
Inajengwa kwa mikopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…