mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Nitangaze interest zangu kwanza huwa Sina muda wa kwenda bar au vijiweni kuchapa stori na kutumia pesa, (tatizo ni muda kazi ni nyingi kuliko muda), so huwa napita pita mara moja moja hasa bar, kwa mwezi naweza kwenda mara mbili nk, Jana jioni nimepita zangu bar kama mbili na nikapita mtaani.
Kilichonishangaza ni ongezeko la boda boda boda pale jirani na mtaani kwangu,nikawa najiwazia tu kuna haja ya kuuza spare za pikipik (I think itakuwa ni next steps mwisho wa mwaka huu, then nikawapitia jamaa kijiweni nikaona pana ongezeko sana la watu wamezunguka bao, na wanabishana habari za Simba na Yanga hivo, nikajikumbusha kuufanyia ukumbi marekebisho makubwa ili misimu ya mpira itakopoanza niwe na nyomi.
Uhalisia ni kwamba ukienda vibanda-umiza unakutana na watu wengi wanangalia mechi ikiisha wanasepa, hali hii imekuwa tofauti sana na nilipoenda baa, nilichokiona watu ni wachache sana tofauti na hapo nyuma watu walikuwa wanakuwa wengi kwenye vijiwe vya starehe, bar, grocery nk.
Mfano jana kulikuwa na watu watatu, baada ya kupata bia moja nikasepa nikaona kama najichora, nikahamia bar ya pili huko hali ni mbaya sana yupo mtu mmoja na demu wake wanakunywa maji, najiuliza tatizo pesa imekuwa adimu au elimu imekuwa kubwa watu wamejua mazara ya pombe ndio maana hawaendi sana baa.