Uchache wa watu baa unatoa ishara gani na wingi wa watu vijiweni una tafsiri gani?

Njoo virabuni tuko nyomi kwenye mnazi na gongo
Siku hizi vijana wengi wanajaa sehemu za vilabuni na kwenye pool table Hawa wa pool table unaweza kuzani hawanywi kabisa wape ofa uone lazima uchakae

Hali ya uchumi ni mbaya tumerudi nyuma sana
 
Wapi upo?

Arusha bar zinajaa kila weekend.

Saa 2 usiku hupati hata sehemu yakuweka mguu.

Raia wana party si kawaida.
 
nitangaze interest zangu kwanza Huwa Sina muda wa kwenda bar au vijiweni kuchapa stori na kutumia pesa, ( tatizo ni muda kazi ni nyingi kuliko muda), so Huwa napita pita mara moja Moja hasa bar, kwa mwezi naweza kwenda mara mbili nk, Jana jioni nimepita zangu bar kama mbili na nikapita mtaani . kilichonishangaza ni ongezeko la boda boda boda pale jirani na mtaani kwangu,nikawa najiwazia tu Kuna haja ya kuuza spare za pikipik( I think itakuwa ni next steps mwisho wa mwaka huu, then nikawapitia jamaa kijiweni nikaona Pana ongezeko sana la watu wamezunguka bao , na wanabishana habari za Simba na yanga hivo, nikajikumbusha kuufanyia ukumbi marekebisho makubwa ili misimu ya mpira itakopoanza niwe na nyomi, uhalisia ni kwamba ukienda vibanda umiza unakutana na watu wengi wanangalia mechi ikiisha wanasepa, hali hii imekuwa tofauti sana na nilipoenda bar ,nilichokiona watu ni wachache sana tofauti na hapo nyuma watu walikuwa wanakuwa wengi kwenye vijiwe vya starehe, bar, grocery nk , mfano jana kulikuwa na watu watatu , baada ya kupata bia Moja nikasepa nikaona kama najichora,nikahamia bar ya pili huko hali ni mbaya sana yupo mtu mmoja na demu wake wanakunywa maji, najiuliza tatizo pesa imekuwa adimu au elimu imekuwa kubwa watu wamejua mazara ya pombe ndio maana hWaendi sana bar
Yani na wewe unaangalia maendeleo ya nchi yapo bar. Huku vijijini ujaona maisha na duni ya maisha. Au we ni TRA
 
Cha ajabu mpka weekend unakuta viwanja vyeupe kabisa! Pesa imekuwa ngumu sana mzee
 
Halafu anatokea zoba mlemavu wa akili mmoja anaropoka ," uchumi wa nchi umeongezeka na umasikini umepungua "
 
Nitangaze interest zangu kwanza huwa Sina muda wa kwenda bar au vijiweni kuchapa stori na kutumia pesa, (tatizo ni muda kazi ni nyingi kuliko muda), so huwa napita pita mara moja moja hasa bar, kwa mwezi naweza kwenda mara mbili nk, Jana jioni nimepita zangu bar kama mbili na nikapita mtaani.

Kilichonishangaza ni ongezeko la boda boda boda pale jirani na mtaani kwangu,nikawa najiwazia tu kuna haja ya kuuza spare za pikipik (I think itakuwa ni next steps mwisho wa mwaka huu, then nikawapitia jamaa kijiweni nikaona pana ongezeko sana la watu wamezunguka bao, na wanabishana habari za Simba na Yanga hivo, nikajikumbusha kuufanyia ukumbi marekebisho makubwa ili misimu ya mpira itakopoanza niwe na nyomi.

Uhalisia ni kwamba ukienda vibanda-umiza unakutana na watu wengi wanangalia mechi ikiisha wanasepa, hali hii imekuwa tofauti sana na nilipoenda baa, nilichokiona watu ni wachache sana tofauti na hapo nyuma watu walikuwa wanakuwa wengi kwenye vijiwe vya starehe, bar, grocery nk.

Mfano jana kulikuwa na watu watatu, baada ya kupata bia moja nikasepa nikaona kama najichora, nikahamia bar ya pili huko hali ni mbaya sana yupo mtu mmoja na demu wake wanakunywa maji, najiuliza tatizo pesa imekuwa adimu au elimu imekuwa kubwa watu wamejua mazara ya pombe ndio maana hawaendi sana baa.
Siku hizi ulevi sio lazima uende bar. Hata kwenye vituo vya daldala zinauzwa achilia mbali wingi wa groceries
 
Hahaha
 
Hahaha ni mkoa gani kwanza huu?

Watu wameacha kulewa kipatp kimekuwa kigumu. Lakini pia watu wamejielekeza kufanya maendeleo.
 
Back
Top Bottom