Uchache wa watu baa unatoa ishara gani na wingi wa watu vijiweni una tafsiri gani?

Njoo virabuni tuko nyomi kwenye mnazi na gongo
Siku hizi vijana wengi wanajaa sehemu za vilabuni na kwenye pool table Hawa wa pool table unaweza kuzani hawanywi kabisa wape ofa uone lazima uchakae

Hali ya uchumi ni mbaya tumerudi nyuma sana
 
Maisha yamekuwa magumu mkuu, siyo kwamba hatupendi au kutamani kukaa bar.
Gharama za maisha zimeongezeka huku mishahara ikibakia kuwa pale pale kinachosaidia hii inchi hakuna njaa watu wanapata ata ugali wa 500
 
Wapi upo?

Arusha bar zinajaa kila weekend.

Saa 2 usiku hupati hata sehemu yakuweka mguu.

Raia wana party si kawaida.
 
Yani na wewe unaangalia maendeleo ya nchi yapo bar. Huku vijijini ujaona maisha na duni ya maisha. Au we ni TRA
 
Cha ajabu mpka weekend unakuta viwanja vyeupe kabisa! Pesa imekuwa ngumu sana mzee
 
Halafu anatokea zoba mlemavu wa akili mmoja anaropoka ," uchumi wa nchi umeongezeka na umasikini umepungua "
 
Siku hizi ulevi sio lazima uende bar. Hata kwenye vituo vya daldala zinauzwa achilia mbali wingi wa groceries
 
Hahaha
 
Hahaha ni mkoa gani kwanza huu?

Watu wameacha kulewa kipatp kimekuwa kigumu. Lakini pia watu wamejielekeza kufanya maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…