Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Kuna binadamu wanazoea uchafu!Hivi ule usafi wa kila wiki uliisha?
Hata Modi wa India alijitahidi wananchi wakasema uchafu ni mazoea yao kwa hiyo ni kazi bure
Kweli wapo yaani wanaona kawaida tu hata umfanye niniKuna binadamu wanazoea uchafu!
Sawa Mkuu. Lakini pale Tandale hadi macourier wanaliona lile tope ni kero.Kweli wapo yaani wanaona kawaida tu hata umfanye nini
Mdau bado napenda kuishi uraiani. Ni bora tope la Tandale kuliko debe la Segerea.BASHITE yuko busy anaingilia ndoa na mahusiano ya watu.....Zero brain with large Booty
Utafikiri tumerogwaSawa Mkuu. Lakini pale Tandale hadi macourier wanaliona lile tope ni kero.
Hilo neno,ushuru sijui unapotelea wapi. Pia hata sisi walaji tuna jukumu la kupiga kelele haiwezekani ndizi, nyanya, viazi, nyama etc zinawekwa chini karibu na matope halafu hatupigi kelele kama vile matumbo yetu yana kinga by default labda huu uchafu ni chanzo cha watu kuduma bila kujua.Utafikiri tumerogwa
Wanaona sana tu huo uchafu
Lakini kero za hivi naona wangegoma kulipa ushuru mpaka watengenezewe
Sasa unalipaje sehemu isiyo salama kwa afya?
Wakishindwa hilo sasa itabidi wajichangishe wamwage zege tu hakuna lingine.
Uchafu wa soko unatokana na aina ya bidhaa. Ukiona soko ni chafu basi ujue hata bidhaa zinazoletwa pale sokoni ni za kiwango cha chini yaani inferior goods.Wanabodi,
Ningependa kujua ni nani anasimamia usafi na miundombinu ndani ya masoko yetu Dar es salaam. Mvua ikinyesha kidogo masoko yetu yanakuwa kama Goma, Congo ni mwendo wa tope na uchafu wa kiwango cha kuleta kipindupindu. Inabidi tuzimulike Mamlaka zinazohusika zifanye kazi yake. Naomba nianze na soko la Tandale.
Mmmmh?Hivi ule usafi wa kila wiki uliisha?
Hata Modi wa India alijitahidi wananchi wakasema uchafu ni mazoea yao kwa hiyo ni kazi bure
Kweli kabisa kama ulifuatilia wakati Modi amekuwa waziri mkuuMmmmh?
Valid point lakini niambie soko la Tandale lina inferior goods?Uchafu wa soko unatokana na aina ya bidhaa. Ukiona soko ni chafu basi ujue hata bidhaa zinazoletwa pale sokoni ni za kiwango cha chini yaani inferior goods.
Sasa jiulize gharama za kuondoa uchafu huo zinakuwa recovered vipi maana ni kubwa kuliko bidhaa.
Aseh! Watu wanaona sawa tu!Sioa dar tu; ni nchi nzima
MazaoValid point lakini niambie soko la Tandale lina inferior goods?
Inferior goods ni substandard goods kwa uelewa wangu huwezi kusema mazao kwa ujumla ni inferior goods. Au kuna kitu sijaelewa?Mazao
Usikariri hivyo. Ni hivi maganda ya makabechi au ndizi ama mananasi kwa mfano thamani yake ni ndogo lakini bei ya kuzoa taka hizo ni kubwa. Hii inatokana na gharama za vibarua, gharama za uendeshaji magari ya taka na ushuru mbalimbali pamoja na fidia ya thamani za mikataba na halmashauri mbalimbali.Inferior goods ni substandard goods kwa uelewa wangu huwezi kusema mazao kwa ujumla ni inferior goods. Au kuna kitu sijaelewa?
Kuzoa taka kunahitaji subsidy kutoka serikalini.Inferior goods ni substandard goods kwa uelewa wangu huwezi kusema mazao kwa ujumla ni inferior goods. Au kuna kitu sijaelewa?