Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Wanabodi,
Ningependa kujua ni nani anasimamia usafi na miundombinu ndani ya masoko yetu Dar es salaam. Mvua ikinyesha kidogo masoko yetu yanakuwa kama Goma, Congo ni mwendo wa tope na uchafu wa kiwango cha kuleta kipindupindu. Inabidi tuzimulike Mamlaka zinazohusika zifanye kazi yake. Naomba nianze na soko la Tandale.