Uchafu mweupe wakati wa kujamiana

Uchafu mweupe wakati wa kujamiana

Bao la kike hilo
iwapo hiyo cream inatokea anapofikia climax then ni bao lakike, maana wengine badala ya ku squirt yale maji mepesi huwa wanatoa cream fulani hivi ila je, anafikia climax na inaambatana na ule mshike mshike vurugu mechi ...au ni quitely tu..
 
Last edited:
Chief nenda pale tegeta kwenye hospital ya masister ukifika kibaoni nadhani utapata tiba zuri sana
 
Unaitwa utoko huo. Ndio vilainishi vyenyewe hivyo.

Kwani unatoa harufu? Kama hautoi harufu ndio burudani zenyewe hizo kaka mkubwa.

Kula rahaa tehe tehe tihi tihi toho toho
 
sio kila kitu mnakimbilia hosp.jamanii ndo akina nyie mtoto akipiga chafya tu mko kwa doctor.hiyokitu ka ma haina harufuna hawashwi bas ni hali ya kawaida ya mabadiliko ya kike k.. inapojisafisha.sometym inakua na uxitoflan iv kama gundi gundi na hapo mpin ukiingia waaalahi kwa gundi hyo mwanaume utajieleza yote.
na ww umeogopa baada ya kutoa mpin ila ukivuta pcha ulivi ingia laxma iyo cku ulikutana na kitu sumaku.
 
mkuu huyo dada kama anapata homa au maumivu, muwasho, au hiyo cream nyeupe inatoa harufu then huo ni ugonjwa.......ila kiuhalisia huko chini ndio kulivyo, na kama hiyo cream inatoka ujue huyo dada yupo fiti...ni mzima wa afya...

Huko chini kwa kawaida hakutakiwi kuingizwa chochote, sio maji wala sabuni na hata vidole.....huko huwa kunajisafisha kwenyewe....na harufu original ya huko chini huwa ni kama kitunguu hivi (samahani jamani) naongea kwa kuelimisha tu na sio ku offend gender....

ingekua ni ugonjwa wewe ndio ungetambua haraka sana......maana ungepata shida kukojoa lazima ungesikia maumivu ndio zogo lingeanzia hapo...iwapo kila mkitenda wewe hauugui....jua tu mkuu chuma kipo fiti.
Nimependa ushauri wako.
 
Back
Top Bottom