mkuu huyo dada kama anapata homa au maumivu, muwasho, au hiyo cream nyeupe inatoa harufu then huo ni ugonjwa.......ila kiuhalisia huko chini ndio kulivyo, na kama hiyo cream inatoka ujue huyo dada yupo fiti...ni mzima wa afya...
Huko chini kwa kawaida hakutakiwi kuingizwa chochote, sio maji wala sabuni na hata vidole.....huko huwa kunajisafisha kwenyewe....na harufu original ya huko chini huwa ni kama kitunguu hivi (samahani jamani) naongea kwa kuelimisha tu na sio ku offend gender....
ingekua ni ugonjwa wewe ndio ungetambua haraka sana......maana ungepata shida kukojoa lazima ungesikia maumivu ndio zogo lingeanzia hapo...iwapo kila mkitenda wewe hauugui....jua tu mkuu chuma kipo fiti.