Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

Kwa hiyo ulikuwa garitaka unavuta uchafu kwenye sink la choo
 
Ebana leo katika harakati za usafi wa mwili nikawa nanyoa mavoozy sasa ile nimefika ule usawa wa mpubu na ngozi ya paja naona kiwembe ni kama kinatoa vumbi jeupe. Nimecheka nikajisemea kweli bado sijaona maajabu ya dunia.
Vumbi kama vumbi 😅😅
Ila inapendeza atleast unajifanyia usafi 😁
 
Wapo baadhi ya Wanawake wanajali na kutunza miili yao ipasavyo

Kuna mmoja niliwahi date naye Mwaka 47, alikuwa anaifukiza udi kule Chini

Yaani muda wote inanukia tu

Isingekuwa kutajiwa mahari kubwa, huenda angekuwa Mke wa nne hakiyanani
Babu una pirika km za pimbi 😹😹
 
Niliwahi kukutana na binti wa chuo flani, vuzy linafunika K yote kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…