Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

Babu una pirika km za pimbi 😹😹
Maisha ni kitabu, ili kiweze kuwa na sifa ya kusomwa lazima ukamilishe utunzi

Bila hizo pilika, mnadhani mkija kuomba Ushauri mkiwa mmepigwa matukio na wakwe zangu huko Mjini, nitawezaje kuwashauri kama sitakuwa na experience 😜

Ukiniletea ishu yako na Mkwe wangu, kupitia uzoefu nakwambia tukio kama lako, lilitokea Mwaka 47, ambapo Bibi yako aliweza kuvumilia na sasa bado tupo pamoja katika kusubiria wakati nani aanze kumuaga mwenzake akitangulia mbele za haki 🙌

Uzee dawa 🤗
 
Kuna watu hamna aibu jamani, binafsi hakuna kitu kinanikata kama mwanaume mchafu. Yani mtu akikuelekezea kwapa au tupu yake usoni unaweza kupiga chafya mpaka upaliwe.

Na kwa wadada, malalamiko ni mengi, wanasema papuchi zinatoa harufu kama vile mnazitumiaga kuanika dagaa.

Mambo gani ya uchafu uchafu ulikutana nayo huko faraghani au nyumbani kwa mpenzi au mwenza wako yakakushangaza au kukukera?
Iwe ni mwilini mwake au mazingira yanayomzunguka.


Tiririka tujifunze!

View attachment 3420211
We dada nimesoma bandiko zako nyingi nadhani una kitu sijui kama umegundua ama hujajigundua...

Kwa ujumla una mtazamo wa kipekee kuhusu afya ya uzazi, ngono salama, masuala ya magonjwa ya zinaa, na mahusiano ya kijamii na ya kimapenzi...

Ingawa wengine huona kama dhana potofu, ukweli unabaki kuwa unatoa elimu ambayo jamii yetu ina kiu nayo, michango yako mingi inajikita kwenye hadithi wakati mwingine ukijizungumzia , mifano ya maisha halisi, na simulizi ambazo zina mvuto wa moja kwa moja, wengi wanavutiwa kwa sababu wanajiona kwenye hizo hadithi, au wanajifunza kupitia uzoefu unaoeleweka...


Wengine hufikiri unapenda sana kuzungumzia ngono, lakini kwa jicho la tatu inaonekana wazi kuwa unatumia njia hiyo kama mlango wa kufundisha yaani unachofanya ni smart education....

Naamini kabisa ukiendelea na mtazamo huu, huku ukipanua wigo wako kwa kuwa na platform yako binafsi iwe online au physical, utaweza kusaidia wengi...

Sema we ni bongo bahati mbaya tu... ungekuwa mamtoni nadhani ungekuwa na podcast moja kubwa , blog, YouTube channel au hata ukurasa wa Instagram/Facebook uliojitolea kwa elimu hii na ungekuwa na followers wengi sana, huwa nawatizama kina Steve Harvey aliyeandika kile kitabu Act Like a Lady, Think Like a Man na movie yake nilitizama....

Vitabu kama hivyo vimewasaidia wanawake wengi kuelewa mahusiano... hivi ulishamfuatilia mtu kama kina Esther Perel...

Una kitu ila hujajistukia tu.. naweza kuandika ukachoka kusoma.. niishie hapo..

Una uwezo mkubwa katika kutoa ushauri katika mahusiano, ndoa na familia... afya ya uzazi, ngono, afya ya wanawake n.k....

Hiko kipaji unacho... kifanyie kazi...
 
We dada nimesoma bandiko zako nyingi nadhani una kitu sijui kama umegundua ama hujajigundua...

Kwa ujumla una mtazamo wa kipekee kuhusu afya ya uzazi, ngono salama, masuala ya magonjwa ya zinaa, na mahusiano ya kijamii na ya kimapenzi...

Ingawa wengine huona kama dhana potofu, ukweli unabaki kuwa unatoa elimu ambayo jamii yetu ina kiu nayo, michango yako mingi inajikita kwenye hadithi wakati mwingine ukijizungumzia , mifano ya maisha halisi, na simulizi ambazo zina mvuto wa moja kwa moja, wengi wanavutiwa kwa sababu wanajiona kwenye hizo hadithi, au wanajifunza kupitia uzoefu unaoeleweka...

Wengine hufikiri unapenda sana kuzungumzia ngono, lakini kwa jicho la tatu inaonekana wazi kuwa unatumia njia hiyo kama mlango wa kufundisha yaani unachofanya ni smart education....

Naamini kabisa ukiendelea na mtazamo huu, huku ukipanua wigo wako kwa kuwa na platform yako binafsi iwe online au physical, utaweza kusaidia wengi...
Asante sana, I appreciate this observation na nimezichukua inputs zote ulizozisema.

Napenda kuandika na kikazi niko kwenye sekta inayoniruhusu kuelimisha na kutafiti, hivyo napata bahati ya kukusanya taarifa nyingi za kijamii.
Sema we ni bongo bahati mbaya tu... ungekuwa mamtoni nadhani ungekuwa na podcast moja kubwa , blog, YouTube channel au hata ukurasa wa Instagram/Facebook uliojitolea kwa elimu hii na ungekuwa na followers wengi sana, huwa nawatizama kina Steve Harvey aliyeandika kile kitabu Act Like a Lady, Think Like a Man na movie yake nilitizama.... Vitabu kama hivyo vimewasaidia wanawake wengi kuelewa mahusiano...
Labda inabidi niwe mamtoni, ila sijajipata tu.
min -me na Shyshka Reinhardt hebu mnisaidie na mimi nifike Ulaya buana!
hivi ulishamfuatilia mtu kama kina Esther Perel...
Namfahamu sana, nasikiliza podcast zake na nimesoma kitabu chake cha "mating in captivity".
Una kitu ila hujajistukia tu.. naweza kuandika ukachoka kusoma.. niishie hapo..
Ukiandika sitachoka kusoma ✍️
Una uwezo mkubwa katika kutoa ushauri katika mahusiano, ndoa na familia... afya ya uzazi, ngono, afya ya wanawake n.k....
Hiko kipaji unacho... kifanyie kazi...
Umenipa msukumo, nimelipokea na nitalifanyia kazi. Asante sana 🙏
 
Ungemuoa ungeona rangi zote,sababu huenda uchumi usingesapoti hiyo gharama.
In fact jana nimemla mchepuko kwanza kaja anasema Yuko horny lakini anasemamhajaoga sabi ya baridi,nimempeleka lodge in Water tap na hot water na bado hajaoga anasema ataoga kwake.

Kilichotokea nimekutana na harufu ya mabaki ya hedhi.

Katika vitu Mimi sipendi ni harufu ya mabaki ya hedhi Niko hapa mpaka mzuka wote umekata wote.

Yeye hajashtuka kuwa sijapenda mwanzoni alikuwa makini sana na hiyo step.

Mahusiano ni mazoea na mazoea yana tabi yake.
Amekuja miwili.msafi.lakini anasema kabisa sijaoga,nikasema Leo tunarudi patupu bila kikao kasema utajua mwenyewe,at the end Joseph wangu akawa kweny demand na hicho nimevuna hapo.
Itachukua muda kusahau sababu first time alisema kabisa nimetoka hedhi.Thos time amekuwa careles na matokeo hivyo nachojua lazima itakuwa changamoto kwa mimi kusahau haya yote it can take even five month
sasa usiombe ukutane na mwenye hedhi iliyochacha/iliyoozea uko ndani kwa ndani apo mzoga wa paka unasubiri. unaweza usitamani kumuona tena uyo mhusika milele yote. mm naonaga issue ya usafi ni muhimu sana kwa hawa ke kuliko kwa me.
 
Back
Top Bottom