Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

Babu una pirika km za pimbi 😹😹
Maisha ni kitabu, ili kiweze kuwa na sifa ya kusomwa lazima ukamilishe utunzi

Bila hizo pilika, mnadhani mkija kuomba Ushauri mkiwa mmepigwa matukio na wakwe zangu huko Mjini, nitawezaje kuwashauri kama sitakuwa na experience 😜

Ukiniletea ishu yako na Mkwe wangu, kupitia uzoefu nakwambia tukio kama lako, lilitokea Mwaka 47, ambapo Bibi yako aliweza kuvumilia na sasa bado tupo pamoja katika kusubiria wakati nani aanze kumuaga mwenzake akitangulia mbele za haki πŸ™Œ

Uzee dawa πŸ€—
 
We dada nimesoma bandiko zako nyingi nadhani una kitu sijui kama umegundua ama hujajigundua...

Kwa ujumla una mtazamo wa kipekee kuhusu afya ya uzazi, ngono salama, masuala ya magonjwa ya zinaa, na mahusiano ya kijamii na ya kimapenzi...

Ingawa wengine huona kama dhana potofu, ukweli unabaki kuwa unatoa elimu ambayo jamii yetu ina kiu nayo, michango yako mingi inajikita kwenye hadithi wakati mwingine ukijizungumzia , mifano ya maisha halisi, na simulizi ambazo zina mvuto wa moja kwa moja, wengi wanavutiwa kwa sababu wanajiona kwenye hizo hadithi, au wanajifunza kupitia uzoefu unaoeleweka...


Wengine hufikiri unapenda sana kuzungumzia ngono, lakini kwa jicho la tatu inaonekana wazi kuwa unatumia njia hiyo kama mlango wa kufundisha yaani unachofanya ni smart education....

Naamini kabisa ukiendelea na mtazamo huu, huku ukipanua wigo wako kwa kuwa na platform yako binafsi iwe online au physical, utaweza kusaidia wengi...

Sema we ni bongo bahati mbaya tu... ungekuwa mamtoni nadhani ungekuwa na podcast moja kubwa , blog, YouTube channel au hata ukurasa wa Instagram/Facebook uliojitolea kwa elimu hii na ungekuwa na followers wengi sana, huwa nawatizama kina Steve Harvey aliyeandika kile kitabu Act Like a Lady, Think Like a Man na movie yake nilitizama....

Vitabu kama hivyo vimewasaidia wanawake wengi kuelewa mahusiano... hivi ulishamfuatilia mtu kama kina Esther Perel...

Una kitu ila hujajistukia tu.. naweza kuandika ukachoka kusoma.. niishie hapo..

Una uwezo mkubwa katika kutoa ushauri katika mahusiano, ndoa na familia... afya ya uzazi, ngono, afya ya wanawake n.k....

Hiko kipaji unacho... kifanyie kazi...
 
Asante sana, I appreciate this observation na nimezichukua inputs zote ulizozisema.

Napenda kuandika na kikazi niko kwenye sekta inayoniruhusu kuelimisha na kutafiti, hivyo napata bahati ya kukusanya taarifa nyingi za kijamii.
Labda inabidi niwe mamtoni, ila sijajipata tu.
min -me na Shyshka Reinhardt hebu mnisaidie na mimi nifike Ulaya buana!
hivi ulishamfuatilia mtu kama kina Esther Perel...
Namfahamu sana, nasikiliza podcast zake na nimesoma kitabu chake cha "mating in captivity".
Una kitu ila hujajistukia tu.. naweza kuandika ukachoka kusoma.. niishie hapo..
Ukiandika sitachoka kusoma ✍️
Una uwezo mkubwa katika kutoa ushauri katika mahusiano, ndoa na familia... afya ya uzazi, ngono, afya ya wanawake n.k....
Hiko kipaji unacho... kifanyie kazi...
Umenipa msukumo, nimelipokea na nitalifanyia kazi. Asante sana πŸ™
 
sasa usiombe ukutane na mwenye hedhi iliyochacha/iliyoozea uko ndani kwa ndani apo mzoga wa paka unasubiri. unaweza usitamani kumuona tena uyo mhusika milele yote. mm naonaga issue ya usafi ni muhimu sana kwa hawa ke kuliko kwa me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…