Uchafu unaofanywa na wasanii wetu wa bongo wawapo location.. See images!

Uchafu unaofanywa na wasanii wetu wa bongo wawapo location.. See images!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Hizi ni shots ambazo ziko kwenye movie ambayo inategemea kutoka muda si mrefu!

wasanii bado wako location, lakini, wewe kama mdau wa sanaa, una maoni gani kuhusu hizi shot chache zilizopigwa hapa?

movie1.jpg




movie3.jpg


Hizo ni baadhi tu ya shots chache kutoka location! sasa swali la msingi hapa ni kwamba, je kuna haja ya serikali kuendelea kuwazuia hawa wasanii wetu? mbona kila kitu wanakifahamu lakini bado wanafanya yale yale wadau?
 
Mbunye zimekuwa pipi siku hizi, watu wanapeana any time T....
 
Una biffu nae nini?sio bure wewe ulikaa location gani wakati una take photo?
 
Hii ni kawaida kwa watu wanaofanya vitu "unprofessionally"
Lakini ndo wameamua hivyo...na ni maisha yao.
 
Ghana na Nigeria movie wanafanya mapenzi waziwazi,kuwa naked zaidi sana ya bongo movies na wamefika mbali kimaendeleleo katika film.Tanzania tuna mengi ya kuzingatia na kufanya kuanzia utunzi, uandaaji,kulinda hali za wasanii na kujitangaza sana nje hapo tutafika mbali.
 
Mmh!!huu uzi ungeuficha tu hapa ni presha twapeana ujue
 
Movie zina reflect maisha halisi ya jamii husika. Mtu akiwa beach na mpenzi wake romance ni kitu cha kawaida na hayo ndo mavazi ya beach, ulitaka wavae majaketi au? Cha msingi itokee kwny cover ya movie kwamba mtazamaji awe 18 years and above
 
Back
Top Bottom