Acha wivu wa kike wewe, mwanaume mwenzio akipta fursa na kuitumia kinakuuma nn?Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
Magufuli ni mkweli balaa!, hakopeshi wala hamungunyi maneno.Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
Unalipwa sh ngapi kumfata fata mzee wa watuHaya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
VIP wa Dar.Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
Mbona hajapelekwa mahakama ya mafisadi? Magufuli hayuko serious na kupambana na ufisadiHaya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
Is this a website or an email? Explain