FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
You can't judge the book by its cover.Muda wote aliokaa walikua hawajui tu
You can't judge the book by its cover.Muda wote aliokaa walikua hawajui tu
Ngoja aje mwingine atakapo kuwa mkweli kuhusu Airport kujengwa home na contract kupewa rafiki, kujenga CRDB yenye hadhi ya kuwa Mwanza au Dodoma nk ndipo naye mtamfananisha na Nyerere
Na yeye Akitoka madarakani atapokea za uso Hatoamini awe mvumilivu kipindi hichoMagufuli ni mkweli balaa!, hakopeshi wala hamungunyi maneno.
![]()
Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!
Wanabodi, Naomba kuanza kwa kudeclare interest, japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini sio mfuasi wa mwanasiasa yoyote, wa chama chochote, ila kuna baadhi ya viongozi nilikuwa nawakubali sana!, John Pombe Magufuli, hakuwa ni miongoni mwao, kwa sababu kadhaa wa kadhaa, moja ikiwa...www.jamiiforums.com
P
Kama ni kweli na kosa si angeshitakiwa au sheria zetu zipo suspended?Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
Magufuli ni mkweli balaa!, hakopeshi wala hamungunyi maneno.
![]()
Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!
Wanabodi, Naomba kuanza kwa kudeclare interest, japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini sio mfuasi wa mwanasiasa yoyote, wa chama chochote, ila kuna baadhi ya viongozi nilikuwa nawakubali sana!, John Pombe Magufuli, hakuwa ni miongoni mwao, kwa sababu kadhaa wa kadhaa, moja ikiwa...www.jamiiforums.com
P
Kwenye presidential appointment powers to hire and fire, the president ana appoint at his pleasures for a reason or without any reason, so does kutumbua, ukiteuliwa huna mamlaka ya kuuliza why you japo you have a liberty ya kukubali au kukataa, na kwenye kutumbuliwa its the same, hakuna kuuliza wala kujiteteaYeye atajitetea wapi? Magufuli ana jukwaa Je Kebwe! Balance iko wapi
Muda wote aliokaa walikua hawajui tu
Siku hizi nimepunguza kunywa supu ya mbuzi maana huwa nawaza hii nyama huenda ni ya beberuNi Mtakatifu wa Watakatifu wote, huyu Ni mwana mpendwa wa Baba, hata akinya hadharani, baba atasema BASHITE ametenda muujiza, ametaga. Wanaosema amekunya ni mabeberu
Mbona kahukumiwa tayari kwenye mahakama kuu ya Kangoroo??Kama ni kweli na kosa si angeshitakiwa au sheria zetu zipo suspended?
Mbona kahukumiwa tayari kwenye mahakama kuu ya Kangoroo??Kama ni kweli na kosa si angeshitakiwa au sheria zetu zipo suspended?
Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
NdioMuda wote aliokaa walikua hawajui tu