Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Alfajiri ya leo niliamka mapema sana nilikua na mdogo wangu anasafiro sasa nikampeleka Stendi kuu ya mabasi Tabora ili aweze kusafiri.
Nilichoona sikuamini macho yangu, maana nimekanyaga Bahasha ya Kaki nikahisi kuteleza kumbe ndani ilikua na Jivi (Mavi) nikasogea kumpeleka bwana mdogo apande basi, mdogo wangu kakanyaga tena.. Loh kumulika mavi tena.
Sikuishia hapo, ikanibidi nifike baadanya kupambazuka, nilichokutana nacho najua mwenyewe, Stendi ni chafu, Mavi yamezagaa , sasa hapo usalama uko wapi?
Pale Stendi kuna wanawake na watoto wadogo wanalala mule, kuna chakula kinauzwa pale afya za watu zikoje? sindio kipindupindu?
cha kujiuliza Mamlaka ziko wapi? zinafanya nini? Maana hili lisipofanyiwa kazi afya za watu wa Tabora ziko hatarini kwa kiasi kikubwa.
Huko nyuma niliwahi kuona kwenye mitandao ya kijamii Mkuu wa mkoa akiagiza usafi kufanyika kila jumamosi lakini hakuna kinachofanyika kwa ufupi Tabora ni chafu na usalama wa watu kiafya uko hatarini walahi Mungu atussidie tu.
Pia soma ~ Meya Tabora asema ukimuona mtu anatupa takataka mkamate, utalipwa