BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Huu anayeonekana ‘staa wa muvi’ ni Diwani wa Viti Maalum Wilaya ya Maswa, Witness Philipo (Mama Dwese) akionekana kuweka tiki katika fomu za kura.
Alichokuwa akikifanya ni kuweka tiki katika fomu za wapiga kura kwa ajili ya mgombea wake.