Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 9,968 Reaction score 16,680 Nov 22, 2022 #21 Ccm na rushwa ni kama uji na mgonjwa
kabila01 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2009 Posts 4,235 Reaction score 4,964 Nov 22, 2022 #22 Bila pesa ndani ya CCM hupati uwongozi wa aina yeyote
voicer JF-Expert Member Joined Jul 13, 2020 Posts 5,545 Reaction score 11,935 Nov 23, 2022 #23 katitu said: Huyu mama namfahamu sana pale maswa hana maadili kabisa sijui kwa nn mpaka leo bado anapewa uongozi ndani ya hicho chama. Click to expand... Kwani hicho chama na huo umoja unayo Maadili gani mkuu?
katitu said: Huyu mama namfahamu sana pale maswa hana maadili kabisa sijui kwa nn mpaka leo bado anapewa uongozi ndani ya hicho chama. Click to expand... Kwani hicho chama na huo umoja unayo Maadili gani mkuu?