Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Tukielekea kwenye uchafuzi, hapa mji wa mawese huwa hatupoi, waha ndo mambo yetu haya.
Mchuano unaosubiriwa ni wa wakuitwa, Kijicho Upembe (Zitto Kabwe) vs Chawa Pro Max (Baba Levo). Hilo jina kijicho upembe ni jina la ubatizo kutoka kwa Baba Levo kwenda kwa Zitto baada ya kushutumiwa na kambi ya Zitto kwamba hajui mswada ni kitu gani.
Mashambulizi ya Baba Levo kwa Mwami Ruyagwa yanachoma kama risasi za moto; Baba Levo anapigana kwa falsafa za Benjamini Netanyahu, ukimgusa na kijiti anaangusha Bunker-Buster, anachoma ukoo mzima.
Mpaka sasa kura za maoni zinampa ushindi Baba Levo kwa zaidi ya 70%
Hii inamtesa sana Mwami Zitto, kuchapwa makofi na mtoto mdogo kisiasa ni aibu
DJ Gonga amapiano 😁😁📢📢📢📢