GE2025 Uchafuzi wa Ubunge Kigoma Mjini: Kijicho Upembe vs Chawa Pro Max; Chawa anashambulia kama Netanyahu, anaongoza kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
2,375
Reaction score
4,784
Tukielekea kwenye uchafuzi, hapa mji wa mawese huwa hatupoi, waha ndo mambo yetu haya.

Mchuano unaosubiriwa ni wa wakuitwa, Kijicho Upembe (Zitto Kabwe) vs Chawa Pro Max (Baba Levo). Hilo jina kijicho upembe ni jina la ubatizo kutoka kwa Baba Levo kwenda kwa Zitto baada ya kushutumiwa na kambi ya Zitto kwamba hajui mswada ni kitu gani.

Mashambulizi ya Baba Levo kwa Mwami Ruyagwa yanachoma kama risasi za moto; Baba Levo anapigana kwa falsafa za Benjamini Netanyahu, ukimgusa na kijiti anaangusha Bunker-Buster, anachoma ukoo mzima.

Mpaka sasa kura za maoni zinampa ushindi Baba Levo kwa zaidi ya 70%



Hii inamtesa sana Mwami Zitto, kuchapwa makofi na mtoto mdogo kisiasa ni aibu

DJ Gonga amapiano πŸ˜πŸ˜πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’
 
Vyawa wanazidiana Nguvu
 
Kwasababu wenye nchi yao wanataka taifa la mazezeta basi hapo watafanya juu chini zezeta apite ili kuhojihoji bungeni kusiwepo
 
Tupe link ya mapiano mkuu,sema hawa ni ndugu na wanapendana sana nje ya siasa , lolote laweza kutokea
 
Vyawa wanazidiana Nguvu
Ila yule Baba Levo ukilisikia likiongea, aisee lile lijamaa linajua, tena yule akiwa Mbunge Kigoma itapata maendeleo mno.

Yule jamaa is a genuine person, sifa kubwa ya kiongozi. Ni kama Tundu Lissu tu
 
Kwasababu wenye nchi yao wanataka taifa la mazezeta basi hapo watafanya juu chini zezeta apite ili kuhojihoji bungeni kusiwepo
Lakini kuhojihoji hakuna hata maana, coz CCM wakiamua wabafanya, kwahiyo mi sioni hiyo impact ya Zitto kumshinda baba levo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…