GE2025 Uchafuzi wa Ubunge Kigoma Mjini: Kijicho Upembe vs Chawa Pro Max; Chawa anashambulia kama Netanyahu, anaongoza kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kura kwa babalevo... tuleteeeniii baba levooooo in magu voice
Lile lijamaa wakisema ni free and fair election, aisee atamgaragaza Zitto kama mbwa mwenye njaa akapewa kitoweo. Labda huyo Zitto kama ana maagano yake na ccm, vinginevyo Baba Levo atamtandika mboko nyingi
 
Teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ kazi kweli kweli
 
Baba Levo ni chawa aliyejiweka wazi wala hana tatizo na mtu. Zitto ni chawa wakujificha kipi bora mpe chawa aliyejiweka wazi kuliko mnafiki aliyejificha wakati ni chawa Zitto na Baba levo boss wao ni mmoja chama kubwa chama tawala
 
Ila Zitto ana_uch_ok_o mwingi yule dogo dah!
 
Jimbo Lina wapigakura zaidi ya 150,000
Halafu maoni mpaka Sasa yaliyoanzishiwa Uzi ni ya watu 35 wa jf, tena kutoka upande uleeeee wanaomchukia Zitto sawa na maazimio ya huko chamani kwao. Hata alivyoandikwa Zitto unajua kuwa Kuna linyumbu linateseka hapa. Poleni sana, zitoo ni lidude likuubwa mno kwenu nyumbu......hamumuwezi hata mjitahidi kumshambulia na kumdhalilisha vp.
 
Baba Levo ni chawa aliyejiweka wazi wala hana tatizo na mtu. Zitto ni chawa wakujificha kipi bora mpe chawa aliyejiweka wazi kuliko mnafiki aliyejificha wakati ni chawa Zitto na Baba levo boss wao ni mmoja chama kubwa chama tawala
Hivi nyie Zitto aliwafanya nn haswaa kigeni ambacho hakikifanywa na wengine weeengi ambao kwa Sasa ni viongozi kabisa wa ccm (molel, nassari n.k)?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kitakachomtokea zitto Kigoma hatasahau, ubunge atausikia redioni.Tujiandae kusikia kuibiwa kura na kura feki...
 
Zitto ni mpuuzi na uzuri ni kwamba watu walishamshitukia kuwa ni chawa wa CCM na si mpinzani wa ukweli. Tusubiri Baba Levo achaguliwe ubunge aje kupewa uwaziri wa Habari na Utamaduni.
 
baba levo apewe mtaji wa kubeti atuachie zitto
 
Ila yule Baba Levo ukilisikia likiongea, aisee lile lijamaa linajua, tena yule akiwa Mbunge Kigoma itapata maendeleo mno.

Yule jamaa is a genuine person, sifa kubwa ya kiongozi. Ni kama Tundu Lissu tu
Tusisahau kuwa,
Tusisahau kuwa Baba Levo alishawahi kuwa diwani huko Kigoma akapata matatizo na kufungwa.

Kilichomfanya Baba Levo kuwa chawa na kuongea ujinga ujinga redioni na mitandaoni ni njaa tu baada ya kutoka jela, lakini jamaa huko nyuma alikuwa vizuri kisiasa.

Watu wa KGM ndio mnajua, je, CCM inakubalika huko KGM? Kama inakubalika basi baba Levo anaweza kuchukua jimbo kwa sababu siyo mgeni kwenye siasa!
 
Usikute ni mipango yao wao wawili, watupiane maneno ionekane mtu pekee wa kumshinda zitto kabwe ni baba levo, ili apite kwenye kura za maoni za CCM.
Asichokijua zitto, baba levo akiwa mgombea wa CCM kuna 60-75% ya kushinda uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…