GE2025 Uchafuzi wa Ubunge Kigoma Mjini: Kijicho Upembe vs Chawa Pro Max; Chawa anashambulia kama Netanyahu, anaongoza kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ngoja utajionea mkuu, acha maneno mingi, chawa kapita mchujo wa mkoa una habari?
 
Usikute ni mipango yao wao wawili, watupiane maneno ionekane mtu pekee wa kumshinda zitto kabwe ni baba levo, ili apite kwenye kura za maoni za CCM.
Asichokijua zitto, baba levo akiwa mgombea wa CCM kuna 60-75% ya kushinda uchaguzi
Na ni kama ashapita kura za maoni, na akipambana na Zitto lazima atampiga kwa over 65% hiyo uhakika kabisa.

Hichi kipigo kitamstaafisha siasa Zitto
 
Baba Levo ni chawa aliyejiweka wazi wala hana tatizo na mtu. Zitto ni chawa wakujificha kipi bora mpe chawa aliyejiweka wazi kuliko mnafiki aliyejificha wakati ni chawa Zitto na Baba levo boss wao ni mmoja chama kubwa chama tawala
Umepatia kabisa, maana yake bora kuwa na chawa asiyejificha
 
Kudadadeki, hapa lazima kiroboto Zitto atakuwa anajipiga vidole kwa hasira tu.....jamaa kishaishiwa kisiasa, hafai jimboni kwake wala Tanzania as a whole. He's patheitc.
 
Kudadadeki, hapa lazima kiroboto Zitto atakuwa anajipa vidole tu kwa hasira tu.....jamaa kishaishiwa kisiasa, hafai jimboni kwake wala Tanzania as a whole. He's patheitc.
Kampeni zitakuwa burudani sana... sipati picha Baba levo atavyokuwa anampelekea mtu moto na maneno yake
 
Zitto atafute kazi nyingine. Miaka yake ya ubunge inatosha apumzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…