CCM ni waoga sana!04 November 2024
View: https://m.youtube.com/watch?v=V_IZgv0n_j0Mfano daftari la mkaazi la mtaa lilifungwa likiwa na watu 138 lakini leo tunapokwenda kuelekea kampeni kwa ajili ya uchaguzi idadi inasoma 738 katika kuta za matangazo , hii inamaana msimamizi msaidizi uchaguzi ameongeza watu 600. Hii idadi ya ziada ya watu hewa inakwenda kutumika kukibeba chama dola kongwe CCM kwa, ...
View attachment 3143584
Lakini Sikuona wadau wa demokrasia waki wa back up wazalendo watatu, nkya buberwa na wangwe waliofungua kesi kupinga tamisemi kusimamia uchaguzi04 November 2024
View: https://m.youtube.com/watch?v=V_IZgv0n_j0Mfano daftari la mkaazi la mtaa lilifungwa likiwa na watu 138 lakini leo tunapokwenda kuelekea kampeni kwa ajili ya uchaguzi idadi inasoma 738 katika kuta za matangazo , hii inamaana msimamizi msaidizi uchaguzi ameongeza watu 600. Hii idadi ya ziada ya watu hewa inakwenda kutumika kukibeba chama dola kongwe CCM kwa, ...
View attachment 3143584
Wanaogopa ushindani halisiCCM ni waoga sana!
Hiii ndo Africa bala GIZA....EU na Nyundo tani 10 ahead......
Kwa bahati mbaya sana, huyu "mgonjwa mahututi" amepania kwelikweli asiage dunia bila ya kuangamiza wanao mzunguka.Lakini Sikuona wadau wa demokrasia waki wa back up wazalendo watatu, nkya buberwa na wangwe waliofungua kesi kupinga tamisemi kusimamia uchaguzi
Nawaona ccm wako desperate kupata ushindi kwa njia yoyote Ile bila kushindanishwa
Watavuruga uchaguzi ili wajitangaze washindi Hilo tunalijua tayari
Lakini hizi ni dalili za mgonjwa mahututi kukata roho ipo siku atakufa tu
Ukweli ni upi?Ikiwa mnayotasema ni kweli basi jitoeni. Kinyume na hapo ni muemdelezo wa taarifa zenu za uongo, uzushi na propaganda chafu.