Mkuu William,
Najua unatambua fika kuwa tumefika hapa kwa sababu ya mfumo pia tulio nao. CCM wamemonopilize almost kila kitu na ni rahisi kwa wasomi wa kike, au hata wa kiume leo kutangaza hadhani kuwa wanasupport CCm kuliko watu hao hao kutangaza hadharani kuwa wanasupport upinzani. Wewe mwenyewe umeshuhudia hata kwenye kura za maoni, jinsi wanawake wengi wasomi walivyojitokeza kuomba nafasi za uongozi kupitia CCM ukilinganisha na wale waliojitokeza kuwania kupitia CHADEMA na tatizo sio kwamba CHADEMA hakitaki kuwa na wanawake wasomi kwenye hizo nafasi, bali tatizo ni hao wanawake wenyewe waliona ni safe zaidi kwao kuomba CCM, maana ukiomba kupitia upinzani unaweza poteza hata ajira yako, hili ni tatizo la mfumo uliopo wa kulazimishakupenda CCM.
Ila hata huko kwenye chama tayari wanawake wako kwenye nafasi za juu, baadhi yao ni hawa hapa chini, sema labda waongeze nafasi ila kumbuka hili litaenda sambamba na wanawake wasomi wengi kujiunga CHADEMA maana huwezi kumpa mtu nafasi sababu tu ni mwanamke, bali anapewa mtu sababu ana uwezo wa kushika hiyo nafasi.
Mkurugenzi Rasilimali
Susan Anslem Lyimo (49)
Kutoka Vunjo, Kilimanjaro
Afisa Baraza la Wanawake
Mary Jumbe (63)
Kutoka Mtwara
Afisa Kampeni na Uchaguzi
Suzan Kiwanga (48)
Kutoka Kilombero, Morogoro
suzan@chadema.or.tz
Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Regia Mtema (24)
Kutoka Ifakara, Morogoro
regia@chadema.or.tz
Afisa Mwandamizi Mambo ya Nje
Mhonga Said Ruhwanya (31)
Kutoka Mwamgongo, Kigoma
mhonga@chadema.or.tz
Afisa Mwandamizi Sheria
Halima James Mdee (32)
Kutoka Same, Kilimanjaro