Elections 2010 Uchaguzi 2010: CHADEMA jifunzeni siasa za kisasa!

Malecela aka william maana ya forum ni kutoa hoja (constructive one) na kuwapa wanajamii wachangie sio kujibizana kama mipasho ya taarabu. Please make up this character of uas

- Mkuu sijakupata vipi ukirudia tena ueleweke, karibu sana!


William.
 
CHADEMA kwenye ukali juu ya matumizi mabaya ya fedha za serikali yanayoathiri akina mama na watoto na watanzania wote kwa ujumla hilo tusiliache.

Kama hiyo ndio sababu ya sisi kutochaguliwa na akina mama (ingawa there is no empirical evidence provided) basi tatizo sio letu ni la akina mama ambao tutawasaidia tu na watakuja kuelewa.

Tukumbuke CHADEMA imefanya vizuri sana kwenye uchaguzi wa mwaka huu kuliko CCM tukichukua base like data za ushindi toka huko nyuma. Na sababu itakuwa ni pamoja na ukali huu.

Ukali naomba tuuzidishe this time around as long as it is for a good course.
 


Mkuu William,
Najua unatambua fika kuwa tumefika hapa kwa sababu ya mfumo pia tulio nao. CCM wamemonopilize almost kila kitu na ni rahisi kwa wasomi wa kike, au hata wa kiume leo kutangaza hadhani kuwa wanasupport CCm kuliko watu hao hao kutangaza hadharani kuwa wanasupport upinzani. Wewe mwenyewe umeshuhudia hata kwenye kura za maoni, jinsi wanawake wengi wasomi walivyojitokeza kuomba nafasi za uongozi kupitia CCM ukilinganisha na wale waliojitokeza kuwania kupitia CHADEMA na tatizo sio kwamba CHADEMA hakitaki kuwa na wanawake wasomi kwenye hizo nafasi, bali tatizo ni hao wanawake wenyewe waliona ni safe zaidi kwao kuomba CCM, maana ukiomba kupitia upinzani unaweza poteza hata ajira yako, hili ni tatizo la mfumo uliopo wa kulazimishakupenda CCM.

Ila hata huko kwenye chama tayari wanawake wako kwenye nafasi za juu, baadhi yao ni hawa hapa chini, sema labda waongeze nafasi ila kumbuka hili litaenda sambamba na wanawake wasomi wengi kujiunga CHADEMA maana huwezi kumpa mtu nafasi sababu tu ni mwanamke, bali anapewa mtu sababu ana uwezo wa kushika hiyo nafasi.


Mkurugenzi Rasilimali
Susan Anslem Lyimo (49)
Kutoka Vunjo, Kilimanjaro






Afisa Baraza la Wanawake
Mary Jumbe (63)
Kutoka Mtwara



Afisa Kampeni na Uchaguzi
Suzan Kiwanga (48)
Kutoka Kilombero, Morogoro
suzan@chadema.or.tz



Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Regia Mtema (24)
Kutoka Ifakara, Morogoro
regia@chadema.or.tz





Afisa Mwandamizi Mambo ya Nje
Mhonga Said Ruhwanya (31)
Kutoka Mwamgongo, Kigoma
mhonga@chadema.or.tz

Afisa Mwandamizi Sheria
Halima James Mdee (32)
Kutoka Same, Kilimanjaro




 


- Fair na ni elimu nzito sana umetoa mkuu, saafi sana.


William
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…