Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Kibonde ni walewale tu wanaoamini CCM itaongoza milele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kibonde mnamuonea......
kwanza amesha declare yeye ni kada wa ccm,
pili kipindi chake ni kama comedy fulani..
sio kipindi serious......
nyinyi mnaomchukulia serious ndio mnapata tabu...
mimi namchukulia kama entertainer hivi....simchukii.... .
Jana Kibonde alionyesha jinsi alivyoshindwa kupambanua mambo wakati anajadili pingamizi la CHADEMA kwa Kikwete kwani kwanza haijui sheria ya uchaguzi na kwa maksudi alikwepa suala la kuongeza mishahara.
Leo nimefurahi na jinsi walivyozungumzia gazeti la Mtanzania ambalo mhariri alijitetea katika kuandika maisha ya binafsi Slaa.Nimeguswa na swali alilopewa mhariri huyo kuwa atasaidie kuandika maisha binafsi ya viongozi wengine.Naongezea "kama ujasiri anao