Askofu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2009
- 1,664
- 87
Taratibu mtumishi.......Hatupendi kukukosa bana. Yaani huyu raia namba moja wa Tanzania unasema si mtanzania?:confused2:
I can prove it... Mashas ni Wagiriyama, wanatoka Kenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu mtumishi.......Hatupendi kukukosa bana. Yaani huyu raia namba moja wa Tanzania unasema si mtanzania?:confused2:
Askofu!:becky::becky::becky:
System nzima ya CCM inaboa sana ..swala zima hapa ni kwamba hawajiamini hata kidogo ..wamekuwa wakiishi kwa hofu ,mashaka na kuotea. maisha yao ..wana hofu kubwa na upinzani
Hii tume ya uchaguzi nayo imekaa ki-CCM sna.Inatia mashaka mno.Ushindi wa Kishindo si ndo huu wa kutumia vigezo vya uraia? Wameona wizi kwenye visanduku vya kura mwaka huu itakuwa ngumu, kwa hiyo wamekuja na mbinu mpya.......... URAIA!!
Can you imagine? Pingamizi zote walizowekewa CCM zinatupwa kapuni. Mohamed Dewji huko Singida kawekewa pingamizi na wagombea wawili wa upinzani pingamizi zimetupwa. Yeye kawawekea pingamizi wagombea wote wa upinzani na pingamizi zote aliaoweka zimekubaliwa..... Naye AMESHAKUWA MBUNGE TAYARI.........Damn it!
sasa ndo utatuambia kati ya Asprin na Askofu, nani mwenye uchungu zaidi na nji hii.....by the way majina yenu yote yanaanza na A...ni coincidence ama?:glasses-nerdy::confused2:
Babu wa babu wa babu wa mama alizaliwa Tanzania. Babu wa babu wa baba alizaliwa Tanzania. Historia inayotangulia hapo siijui. Baba na mama wote wamezaliwa miaka ya 1940. Je mimi ni raia wa Tanzania? Naogopa mimi si raia na nimeamua kugombea mwiko!!!
Person Born after December 9, 1961: Child born in Tanzania, at least one of whose parents is a citizen of Tanzania. Child born abroad, whose father is a citizen of Tanzania.
Sina uhakika kama hii sheria iko hivi ila naona huyu jamaa wa Mwanza alikuwa raia. Soma vizuri maandishi mekundu
Ukipiga kura huulizwi uraia wako dada yangu mpenzi.itakuwa tunasubiri mcmu wa uchaguzi ufike ili watu tujilikane kama ni wa tz au laaa, nchi inaboa sana hii, nicje nikaja kupiga kura nikaambiwa mie mkenya.
Kumbe hata kwenye Sihasa umo? Mi nilifikiri we ni mkurugenzi mtendaji wa kudumu kule MMU!
Eti kuna haja ya kupiga kura hiyo Oktoba? Mi kichwa kinaniuma manake haya majamaa hata tufanyeje lazima yashinde iwe kihalali au kwa kukwiba.
Yaani nipoteze muda wangu wa kunywa bia kwenda kupiga kura itakayoibwa? NO WAY!
na mie nilikuwa najiuliza hilo swali, nije mpaka huko bado foleni mpaka kule wakati unahic hata iweje mabadiliko ni 0...ngoja niendelee kujishauri, lakini na hapo hapo kura zetu ni za muhimu japo wajue wananchi tumeshawachoka sasa.
Ukipiga kura huulizwi uraia wako dada yangu mpenzi.
Ole wako uchukue fomu ya kugombea ubunge kupambana na kigogo wa CCM. Masha atafanya vitu vyake.
Unafikiri kwamba hawajuia. Wanajua ndio maana wanatumia njia mbadala kama hizi. Pingamizi!!