Asprin JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,223 Reaction score 96,083 Aug 23, 2010 Thread starter #41 Nyamayao said: ishu ni ubunge tu au hata udiwani?..yeye anavidhibitishi gani kujua fulani sio raia au ndio hivyo kusema fulani kashindwa kudhibitisha uraia wake? Click to expand... Kwa sirikali ya Tanzania ya CCM ya JK, waziri wa mambo ya ndani akitamka wewe si raia, unakuwa si raia. Hakuna mjadala. Hilo ndilo neno la ccm. Na bahati nzuri masha ndio waziri mwenyewe wa kutamka.
Nyamayao said: ishu ni ubunge tu au hata udiwani?..yeye anavidhibitishi gani kujua fulani sio raia au ndio hivyo kusema fulani kashindwa kudhibitisha uraia wake? Click to expand... Kwa sirikali ya Tanzania ya CCM ya JK, waziri wa mambo ya ndani akitamka wewe si raia, unakuwa si raia. Hakuna mjadala. Hilo ndilo neno la ccm. Na bahati nzuri masha ndio waziri mwenyewe wa kutamka.
Asprin JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,223 Reaction score 96,083 Aug 23, 2010 Thread starter #42 Fidel80 said: Angalia mpwa na wewe huyo Law anaweza sema ni Mkenya kisa unatokea karibu na Kenya hapo. Click to expand... So long sina nia ya kugombea uongozi wa kisiasa.... ntaendelea kuwa raia mwaminifu wa Tanzania kwa vigezo vyote vya Masha.
Fidel80 said: Angalia mpwa na wewe huyo Law anaweza sema ni Mkenya kisa unatokea karibu na Kenya hapo. Click to expand... So long sina nia ya kugombea uongozi wa kisiasa.... ntaendelea kuwa raia mwaminifu wa Tanzania kwa vigezo vyote vya Masha.
Askofu JF-Expert Member Joined Feb 14, 2009 Posts 1,664 Reaction score 87 Aug 23, 2010 #43 Asprin said: Askofu!:becky::becky::becky: Click to expand... ....Kweli...