Kuna haja gani kwenda kupiga kura kwenye maigizo hayo?
Wapinzani nao wajinga,wanaacha kudai tume huru kwa vitendo wanaleta kutia huruma.Hamtatangazwa nyieee,hata tukisema tukapige kura.