Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Habari za Wakati huu:
Kama ilivyo ada sisi watazam fursa huwa tunaangalia ni namna gani tunaweza kutoa huduma tofauti kwa watu tofauti.
Masoko Consultants Tunakuletea huduma adhimu na ya kipekee kabisa wewe Mgombea wa nafasi ya Ubunge na Udiwani.Ni huduma ya Strategic Campaign Managament and Analytics:
Huduma hii inahusisha yafuatayo:
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa email:masokotz@yahoo.com au unaweza kujaza fomu hii

- Uaandaaji wa Campaign Plan Blue Print kwa kuzingatia Eneo lako la ugombea
- Uaandaaji wa Campaign Communications materials ikiwamo kitabu cha sera,mabango na vipeperushi
- Uaandaaji wa Speech
- Uaandaaji wa bajeti ya Campaign
- Uandaaji wa Questionaire
- Kufanya utafiti wa Mshindani wake
- Recruitment ya Volunteers
- Online Targeted Advertising Advertising
- Election Day Eve Evaluation
- Post Election Evaluation
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa email:masokotz@yahoo.com au unaweza kujaza fomu hii