Uchaguzi 2020-Huduma ya Strategic Campaign Management and Analytics

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Habari za Wakati huu:

Kama ilivyo ada sisi watazam fursa huwa tunaangalia ni namna gani tunaweza kutoa huduma tofauti kwa watu tofauti.

Masoko Consultants Tunakuletea huduma adhimu na ya kipekee kabisa wewe Mgombea wa nafasi ya Ubunge na Udiwani.Ni huduma ya Strategic Campaign Managament and Analytics:

Huduma hii inahusisha yafuatayo:
  1. Uaandaaji wa Campaign Plan Blue Print kwa kuzingatia Eneo lako la ugombea
  2. Uaandaaji wa Campaign Communications materials ikiwamo kitabu cha sera,mabango na vipeperushi
  3. Uaandaaji wa Speech
  4. Uaandaaji wa bajeti ya Campaign
  5. Uandaaji wa Questionaire
  6. Kufanya utafiti wa Mshindani wake
  7. Recruitment ya Volunteers
  8. Online Targeted Advertising Advertising
  9. Election Day Eve Evaluation
  10. Post Election Evaluation
Huduma hizi zinapatikana Tanzania nzima,kwa wagombea wa vyama vyote kwa gharama ya kuanzia TZS 20000-Ubunge na 10,000 Udiwani kwa huduma (Excluding Overheads) kwa kipindi chote cha Uchaguzi

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa email:masokotz@yahoo.com au unaweza kujaza fomu hii
 

Attachments

Nendeni mbali zaidi. Fanyeni ni opinion polls za kitaalam na exit polls ili wagombea wajue kukubalika kwao kabla ya uchaguzi na uwezekano wao wa kushinda baada ya uchaguzi (exit poll).
 
Nendeni mbali zaidi. Fanyeni ni opinion polls za kitaalam na exit polls ili wagombea wajue kukubalika kwao kabla ya uchaguzi na uwezekano wao wa kushinda baada ya uchaguzi (exit poll).
Mkuu wazo zuri tutaangalia namna ya kuliweka ingawa lengo letu ni kumsaidi mgombea aweze kufikia wapiga kura wengi na kuendesha effective Campaign kwa kutumia Taarifa sahihi na teknolojia
 
Mwisho wa siku mgombea anataka arudishe gharama zake kwa nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…