Uchaguzi 2020: Mafuriko ya Tundu Lisu, anaweza kubadili kanuni za uuwindaji!

TWisheshagi

Member
Joined
May 2, 2020
Posts
14
Reaction score
209
MAFURIKO ya Tundu Lisu, yaweza kubadili kanuni za uuwindaji. Yaani, Mbuni kuanzia kumuwinda Tembo. Au sungura kuanzia kumwinda mbwa!

Katika siasa Hakuna jambo linaloweza kutokea kwa bahati mbaya. Matukio yote hupangwa kwa njia za haki au hila! Hupangwa mchana au usiku! Sirini au kwenye Meza ndefu ya wazi yenye bradi au juisi!

Mipango ya sirini iliyopangwa na waovu ili shindwa kumuondoa Lisu. Lisu amezaliwa upya. Umaarufu aliyeonao kwa sasa hakuwahi kuota wala kuwaza kama atakuwa nao!

Kanuni za uuwindaji zimebadilishwa. Makovu ya Lisu Sasa yanawaunganisha watu. Mateso aliyopitia, Sasa yamegeuka kuwa dawa ya misuli ya moyo kwa umma!

Mwenyezi MUNGU aliye mwema na mtenda haki amekwisha kusema mengi kuliko anayosema Lisu!

Lisu haihitaji kusema tena, MUNGU amemsemea kwa niaba yake. Umma umemsikia sauti yake. Sauti yenye mamlaka ya kuwaunganisha watu!

Mateso aliyopitia Tundu Lisu, yanatumika kama utakaso wa kuwaimarisha watu. Watu hawana hofu tena. Makovu ya Lisu, yamewatengeneza watu kuwa na ujasiri wa kuishinda hofu!

Maandiko matakatifu yanatukumbusha kuwa: Mwanadamu anaweza kupata au kupitia Mateso bila kujua chanzo chake.

Mateso ya namna hiyo, dawa yake si kutesa wengine. Dawa yake ni kusema unavyoteseka au ulivyoteseka ili kuwaimarisha wengine wateswao na watesekao kama wewe!

Lisu ametuimarisha na kuimarisha wengi wateswao ndani na nje ya mifumo rasmi!

Ndimi, mkulima wa Bamia bonode la mto Simiyu, Magu - MWanza.
 
Hakika umenena mkuu na 2020 ni yeye ndo rais
IMG-20200812-WA0099.jpg
 
Waliompiga walilikoroga
 
Back
Top Bottom