Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020: Sioni hoja za Magufuli na CCM kutushawishi Watanzania tuwachague tena!

Vyote hivyo viko Dar sisi wa huku Manyovu Kigoma tunafaidikaje na keki ya taifa

Kurudika miradi sehemu moja ndio kulipelekea Sudan kujitenga,walikuwa wakichukua kodi na mali kusini wanajenga kaskazini kusini wakachoka kwa msaada wa nje wakajitenga.Ni hatari sana kwa taifa
 
hivi huko upinzani mna hoja gani inayowabeba mpaka sasa; hoja yenu kuu ya ufisadi mlishaiua na muasisi wake kawakimbia kwa sasa yuko upande mwingine.

Wana hoja nyingi sana mmefanya vizuri sana kuzuia shughuli za kisiasa kwa upinzani ni faida Mbili wamepata,kutokujua nguvu zao maana moto wa chini chini,pia kutokujua hoja zao ambapo mngeruhusu mikutano zingechuja kwa hio kipenga kikipulizwa watakuja na mashambulizi ya hoja nyingi nzito sababu mtakuwa amkujipanga kuwa na majibu zitawasumbueni sana na amtoweza kujibu hoja,mmeshindwa za Lissu, za waraka wa pasaka wa maaskofu, za jumuia ya ulaya na USA hadi Leo mmeshindwa kuwa jibu mtaweza kuwa jibu watz ili wawaamini tena? Wapi
Milioni 50 kila kijiji
Maslai bora kwa Watumishi
Mikopo ya vyuo je?
Korosho vipi?
Tirioni 2.4 je?
Wasiojulikana ni kina nani kama wana nguvu mmeshindwa kuwadhibiti kuna haja gani tuwaamini mtuongoze tena?
Usalama wa RAIA je wangapi wanauliwa na polisi
Mahusiano ya kimataifa je?
Demokrasia na Uhuru wa habari je?
Vipi kuhusu matumizi ya kodi zetu?
Bunge live je,ila uzinduzi live
Local channel je?
Utekaji je?
Elimu iko ICU si mmeona matokeo!
Hali ya biashara je.
Tatizo LA ajira ni Bomu kubwa mjiandae.

Hoja ni nyingi sana kuliko majibu maana mmekiri watz si wajinga wameona wanaona ipi mbivu ipi mbichi.
Mnakaza kubwa sana mliaminiwa mkawavunja wengi matumaini.
 
Anachofanya sasa ni kumwomba Lowasa amuazime zile kura zake milion 6.!!! Utadhani aliziweka benki zinamsubiri. hahaha

Kweli wana-CCM ndio wazalishaji wakubwa wa wajinga nchi hii..

Walipiga hesabu kura Milioni 6 jumlisha Milioni 8 zitakuwa 14 hivo ushindi wa kishindo,hata Milioni 2 awapati.Wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara, wanafunzi, bodaboda,machinga,Makundi yote ya ushindi wanasubiri kulipiza kisasi maana yoote yameshaumwa na nyoka.
 
Nani kakwambia wtz tunahitaji hayo yote uloandika? Push ups tu inatosha kuwachagua tena!
 
Me ningeshauri ikifika uchaguzi labda tufanye wa madiwani na wabunge tu

Yani magufuli atapita kama anakunywa maji.....
 
hivi huko upinzani mna hoja gani inayowabeba mpaka sasa; hoja yenu kuu ya ufisadi mlishaiua na muasisi wake kawakimbia kwa sasa yuko upande mwingine.
Karudi kiwandani piga hela sio?
 
Habari zenu wana JF!

Mimi naomba wakereketwa na washabiki wa uongozi wa awamu ya tano watushawishi kwa hoja za msingi kwa nini Magufuli na CCM tuwape kura 2020!
Nani alikuambia wapigakura wa Tanzania huwa wanapiga kura kwa hoja?.
Wapigakura wa Tanzania, wanachagua tuu chama na kuchagua watu. 2020 ni CCM na rais ni Dr. John Pombe Magufuli, hana mpinzani na hana mshindani.

Paskali
Rejea
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...

Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha ...

Jee Magufuli Anaimarisha CCM Au Anaua Upinzani?. Tunaelekea Nchi ya Chama Kimoja?.

Nini Mustakabali wa Upinzani TZ?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za ...

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
 
Pamoja hayo, tusiwe wafungwa wa historia. Tunajua siku za nyuma hata nyimbo za TOT zilitosha kuwafanya watu wapigie CCM! Ninachosema ni kwa Magufuli atajitangaza kwa kuwa majeshi na tume ya uchaguzi ni ya kwake lakini si kwa kupewa kura halali na wananchi!
 
Habari zenu wana JF!

Mimi naomba wakereketwa na washabiki wa uongozi wa awamu ya tano watushawishi kwa hoja za msingi kwa nini Magufuli na CCM tuwape kura 2020!

Tunajuwa uwezo wa kujitangazia ushindi wanao, kwa kuwa wao ndiyo wafugaji haliali wa magobore!

Kwa upande wangu nawashawishi Watanzania tusiwachague hawa watu kwa sababu zifuatazo:

1. Uchumi: Hali ya maisha ya watu kifedha ni mbaya kuliko kawaida. Tujiulize tu kila mmoja tangu awamu ya tano ianze, simu unazopokea tu kwa siku, watu wakiomba kusaidiwa pesa zimeongezeka zaidi. Hii ni dalili kuwa hali ya watu kiuchumi siyo nzuri!

2. Biashara nyingi zimedorora au kufa kabisa. Ukipita katika miji mikuɓwa utakuta wachuuzi wamepanga bidhaa mpaka baraɓarani lakini bado wanalalamika kutopata wateja!

3. Wakulima nao hali ni mbaya kuliko kawaida. Mazao hayana wanunuzi na kama wapo yananunuliwa kwa bei ya chini ambayo wakulima hawapati faida bali ni hasara! Kama unabisha waulize wakulima wa korosho!

4. Wavuvi nao hawajaachwa salama! Tingatinga limefanyakazi ambayo si rahisi kusahaulika! Umasikini umewakuta kwa kasi ya dreamliner! Ukibisha waulize walishudia samaki wakipimwa kwa rula wakati taƴari wameshaƙuwa supu!

5. Usalama nalo ni jambo lingine linalonishawishi kutowachagua hawa watu. Siku hizi vibaka mtaani ni wengi sana! Ukipona viɓaka basi wewe utapambana na wasiojulikana.

6. Rushwa nayo imeongezeka badala ya kupungua. Utambiwa mara 1.5T hazijulikani zilipo, mara 2.4T hazionekani mara kuna shimo linaitwa 'vote 20' linameza pesa ɓila kutafuna!

7. Kodi nazo hazihesabiki na wala hazina mpangilio! Wakiamka tu hawa mabwana wakubwa kuwa wauza matembele nao tuwakamue, wanatengeneza vitambulisho visivyo na kichwa wala mkia na kuanza kuwatoza feɗha! Natamani waTz wote tuseme hapana inatosha!

8. Demokrasia na uhuru wa maoni navyo vipo kwenye ncha ya upanga. Ukitaka kuhoji matendo ya serikali inabidi uangalie aliye karibu yako kama unamfahamu au la. Tofauta na hapo utatembelewa na Wasiojulikana. Hofu ni kila mahali.

9. Tanzani ƴa Viwanɗa tuliyohubiriwa haionekani, kumbe uliƙuwa ni ulaghai mtupu! Wajenga viwanda wametokomea kusikojulikana! Tunasubiri viwanda ya umma vilivyomshinda Mwalimu!

10. Wahisani nao amewatibua, ambao walikuwa wanasaidia kwa kiwango kiwa katika maendeleo ya taifa katika nyanja mbalimbali mfano elimu, afƴa nk! Sasa wanawaita mabeberu eti sisi ni 'donor country'! Ngoja tusubiri kipigo cha mbwa mwizi!

11. Huduma za jamii nazo ni hoi! Maji, afya, elimu nk vyote bado ni duni

12. Ajira kwa vijana waliomaliza vyuo hakuna. Hivi ni kipi mtawaeleza WaTz wawaelewe na kuwaunga mkono!?

13. Mishara kwa watumishi wa umma haijaongezeka tangu muingie madarakani! Je huu ni uungwana kweli!?

14. Hata wana CCM wenzenu huku mashinani wanalalamika, vikao mnawaitisha hata soda hawapati! Hivi awamu ya tano faida yenu ni nini!

15. Sasa mvua nazo hazinyeshi sababu Mungu amechukizwa matendo yenu yasiyofaa ya kurudisha maendeleo ƴa watu na taifa nyuma!

16. Chuki na mgawanyiko miongoni mwa wananchi mmeuleta Srikali ya awamu ya tano! Mnasema yapelekwe kwenye madiwani na wabunge wa CCM na si maeneo yote! Ubaguzi ubaguzi!

Kwa haya machache nashawishika kusema, JPM na genge lake si wa kupigiwa kura wajipange kujitangaza kwa nguvu!
wakati wa kampeni alisema mahinga na mama muuza mihogo waachwe wasisumbuliwe na makodi kodi....naona jamaa anafanya zaidi ya makodi kodi. Huyu jamaa ana hali ngumu sana mwakani. Anachoweza kujivunia ni policcm na tissccm tu basi. Hana backbone nyingine.
 
Me ningeshauri ikifika uchaguzi labda tufanye wa madiwani na wabunge tu

Yani magufuli atapita kama anakunywa maji.....

Sawa apite kama unakunywa maji! Tuambie achaguliwe kwa lipi ambalo watanzania amewafanyia la maana kama siyo ulaghai tu!
 
Habari zenu wana JF!

Mimi naomba wakereketwa na washabiki wa uongozi wa awamu ya tano watushawishi kwa hoja za msingi kwa nini Magufuli na CCM tuwape kura 2020!

Tunajuwa uwezo wa kujitangazia ushindi wanao, kwa kuwa wao ndiyo wafugaji haliali wa magobore!

Kwa upande wangu nawashawishi Watanzania tusiwachague hawa watu kwa sababu zifuatazo:

1. Uchumi: Hali ya maisha ya watu kifedha ni mbaya kuliko kawaida. Tujiulize tu kila mmoja tangu awamu ya tano ianze, simu unazopokea tu kwa siku, watu wakiomba kusaidiwa pesa zimeongezeka zaidi. Hii ni dalili kuwa hali ya watu kiuchumi siyo nzuri!

2. Biashara nyingi zimedorora au kufa kabisa. Ukipita katika miji mikuɓwa utakuta wachuuzi wamepanga bidhaa mpaka baraɓarani lakini bado wanalalamika kutopata wateja!

3. Wakulima nao hali ni mbaya kuliko kawaida. Mazao hayana wanunuzi na kama wapo yananunuliwa kwa bei ya chini ambayo wakulima hawapati faida bali ni hasara! Kama unabisha waulize wakulima wa korosho!

4. Wavuvi nao hawajaachwa salama! Tingatinga limefanyakazi ambayo si rahisi kusahaulika! Umasikini umewakuta kwa kasi ya dreamliner! Ukibisha waulize walishudia samaki wakipimwa kwa rula wakati taƴari wameshaƙuwa supu!

5. Usalama nalo ni jambo lingine linalonishawishi kutowachagua hawa watu. Siku hizi vibaka mtaani ni wengi sana! Ukipona viɓaka basi wewe utapambana na wasiojulikana.

6. Rushwa nayo imeongezeka badala ya kupungua. Utambiwa mara 1.5T hazijulikani zilipo, mara 2.4T hazionekani mara kuna shimo linaitwa 'vote 20' linameza pesa ɓila kutafuna!

7. Kodi nazo hazihesabiki na wala hazina mpangilio! Wakiamka tu hawa mabwana wakubwa kuwa wauza matembele nao tuwakamue, wanatengeneza vitambulisho visivyo na kichwa wala mkia na kuanza kuwatoza feɗha! Natamani waTz wote tuseme hapana inatosha!

8. Demokrasia na uhuru wa maoni navyo vipo kwenye ncha ya upanga. Ukitaka kuhoji matendo ya serikali inabidi uangalie aliye karibu yako kama unamfahamu au la. Tofauta na hapo utatembelewa na Wasiojulikana. Hofu ni kila mahali.

9. Tanzani ƴa Viwanɗa tuliyohubiriwa haionekani, kumbe uliƙuwa ni ulaghai mtupu! Wajenga viwanda wametokomea kusikojulikana! Tunasubiri viwanda ya umma vilivyomshinda Mwalimu!

10. Wahisani nao amewatibua, ambao walikuwa wanasaidia kwa kiwango kiwa katika maendeleo ya taifa katika nyanja mbalimbali mfano elimu, afƴa nk! Sasa wanawaita mabeberu eti sisi ni 'donor country'! Ngoja tusubiri kipigo cha mbwa mwizi!

11. Huduma za jamii nazo ni hoi! Maji, afya, elimu nk vyote bado ni duni

12. Ajira kwa vijana waliomaliza vyuo hakuna. Hivi ni kipi mtawaeleza WaTz wawaelewe na kuwaunga mkono!?

13. Mishara kwa watumishi wa umma haijaongezeka tangu muingie madarakani! Je huu ni uungwana kweli!?

14. Hata wana CCM wenzenu huku mashinani wanalalamika, vikao mnawaitisha hata soda hawapati! Hivi awamu ya tano faida yenu ni nini!

15. Sasa mvua nazo hazinyeshi sababu Mungu amechukizwa matendo yenu yasiyofaa ya kurudisha maendeleo ƴa watu na taifa nyuma!

16. Chuki na mgawanyiko miongoni mwa wananchi mmeuleta Srikali ya awamu ya tano! Mnasema yapelekwe kwenye madiwani na wabunge wa CCM na si maeneo yote! Ubaguzi ubaguzi!

Kwa haya machache nashawishika kusema, JPM na genge lake si wa kupigiwa kura wajipange kujitangaza kwa nguvu!
Huhitaji kumshawishi mbuzi akubali kupelekwa kula majani. anabuluzwa tu! Hata alale chini, peleka tu! Baadaye atagundua sababu ya kubuluzwa.
 
Atatwambia kuwa amemrudisha lowasa kundini

In God we trust
 
Back
Top Bottom