RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 963
- 1,927
- Thread starter
-
- #21
hivi huko upinzani mna hoja gani inayowabeba mpaka sasa; hoja yenu kuu ya ufisadi mlishaiua na muasisi wake kawakimbia kwa sasa yuko upande mwingine.
Vyote hivyo viko Dar sisi wa huku Manyovu Kigoma tunafaidikaje na keki ya taifa
hivi huko upinzani mna hoja gani inayowabeba mpaka sasa; hoja yenu kuu ya ufisadi mlishaiua na muasisi wake kawakimbia kwa sasa yuko upande mwingine.
Anachofanya sasa ni kumwomba Lowasa amuazime zile kura zake milion 6.!!! Utadhani aliziweka benki zinamsubiri. hahaha
Kweli wana-CCM ndio wazalishaji wakubwa wa wajinga nchi hii..
Kwa hoja hizo ni bora aseme anaijenga DSM pekee.Maana 97 % ya hayo yanafanyika DSM.Kwa hiyo amepata urais aijenge DSM?
Karudi kiwandani piga hela sio?hivi huko upinzani mna hoja gani inayowabeba mpaka sasa; hoja yenu kuu ya ufisadi mlishaiua na muasisi wake kawakimbia kwa sasa yuko upande mwingine.
Nani alikuambia wapigakura wa Tanzania huwa wanapiga kura kwa hoja?.Habari zenu wana JF!
Mimi naomba wakereketwa na washabiki wa uongozi wa awamu ya tano watushawishi kwa hoja za msingi kwa nini Magufuli na CCM tuwape kura 2020!
Nani alikuambia wapigakura wa Tanzania huwa wanapiga kura kwa hoja?.
Wapigakura wa Tanzania, wanachagua tuu chama na kuchagua watu. 2020 ni CCM na rais ni Dr. John Pombe Magufuli, hana mpinzani na hana mshindani.
Paskali
Rejea
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...
Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha ...
Jee Magufuli Anaimarisha CCM Au Anaua Upinzani?. Tunaelekea Nchi ya Chama Kimoja?.
Nini Mustakabali wa Upinzani TZ?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za ...
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
wakati wa kampeni alisema mahinga na mama muuza mihogo waachwe wasisumbuliwe na makodi kodi....naona jamaa anafanya zaidi ya makodi kodi. Huyu jamaa ana hali ngumu sana mwakani. Anachoweza kujivunia ni policcm na tissccm tu basi. Hana backbone nyingine.Habari zenu wana JF!
Mimi naomba wakereketwa na washabiki wa uongozi wa awamu ya tano watushawishi kwa hoja za msingi kwa nini Magufuli na CCM tuwape kura 2020!
Tunajuwa uwezo wa kujitangazia ushindi wanao, kwa kuwa wao ndiyo wafugaji haliali wa magobore!
Kwa upande wangu nawashawishi Watanzania tusiwachague hawa watu kwa sababu zifuatazo:
1. Uchumi: Hali ya maisha ya watu kifedha ni mbaya kuliko kawaida. Tujiulize tu kila mmoja tangu awamu ya tano ianze, simu unazopokea tu kwa siku, watu wakiomba kusaidiwa pesa zimeongezeka zaidi. Hii ni dalili kuwa hali ya watu kiuchumi siyo nzuri!
2. Biashara nyingi zimedorora au kufa kabisa. Ukipita katika miji mikuɓwa utakuta wachuuzi wamepanga bidhaa mpaka baraɓarani lakini bado wanalalamika kutopata wateja!
3. Wakulima nao hali ni mbaya kuliko kawaida. Mazao hayana wanunuzi na kama wapo yananunuliwa kwa bei ya chini ambayo wakulima hawapati faida bali ni hasara! Kama unabisha waulize wakulima wa korosho!
4. Wavuvi nao hawajaachwa salama! Tingatinga limefanyakazi ambayo si rahisi kusahaulika! Umasikini umewakuta kwa kasi ya dreamliner! Ukibisha waulize walishudia samaki wakipimwa kwa rula wakati taƴari wameshaƙuwa supu!
5. Usalama nalo ni jambo lingine linalonishawishi kutowachagua hawa watu. Siku hizi vibaka mtaani ni wengi sana! Ukipona viɓaka basi wewe utapambana na wasiojulikana.
6. Rushwa nayo imeongezeka badala ya kupungua. Utambiwa mara 1.5T hazijulikani zilipo, mara 2.4T hazionekani mara kuna shimo linaitwa 'vote 20' linameza pesa ɓila kutafuna!
7. Kodi nazo hazihesabiki na wala hazina mpangilio! Wakiamka tu hawa mabwana wakubwa kuwa wauza matembele nao tuwakamue, wanatengeneza vitambulisho visivyo na kichwa wala mkia na kuanza kuwatoza feɗha! Natamani waTz wote tuseme hapana inatosha!
8. Demokrasia na uhuru wa maoni navyo vipo kwenye ncha ya upanga. Ukitaka kuhoji matendo ya serikali inabidi uangalie aliye karibu yako kama unamfahamu au la. Tofauta na hapo utatembelewa na Wasiojulikana. Hofu ni kila mahali.
9. Tanzani ƴa Viwanɗa tuliyohubiriwa haionekani, kumbe uliƙuwa ni ulaghai mtupu! Wajenga viwanda wametokomea kusikojulikana! Tunasubiri viwanda ya umma vilivyomshinda Mwalimu!
10. Wahisani nao amewatibua, ambao walikuwa wanasaidia kwa kiwango kiwa katika maendeleo ya taifa katika nyanja mbalimbali mfano elimu, afƴa nk! Sasa wanawaita mabeberu eti sisi ni 'donor country'! Ngoja tusubiri kipigo cha mbwa mwizi!
11. Huduma za jamii nazo ni hoi! Maji, afya, elimu nk vyote bado ni duni
12. Ajira kwa vijana waliomaliza vyuo hakuna. Hivi ni kipi mtawaeleza WaTz wawaelewe na kuwaunga mkono!?
13. Mishara kwa watumishi wa umma haijaongezeka tangu muingie madarakani! Je huu ni uungwana kweli!?
14. Hata wana CCM wenzenu huku mashinani wanalalamika, vikao mnawaitisha hata soda hawapati! Hivi awamu ya tano faida yenu ni nini!
15. Sasa mvua nazo hazinyeshi sababu Mungu amechukizwa matendo yenu yasiyofaa ya kurudisha maendeleo ƴa watu na taifa nyuma!
16. Chuki na mgawanyiko miongoni mwa wananchi mmeuleta Srikali ya awamu ya tano! Mnasema yapelekwe kwenye madiwani na wabunge wa CCM na si maeneo yote! Ubaguzi ubaguzi!
Kwa haya machache nashawishika kusema, JPM na genge lake si wa kupigiwa kura wajipange kujitangaza kwa nguvu!
Me ningeshauri ikifika uchaguzi labda tufanye wa madiwani na wabunge tu
Yani magufuli atapita kama anakunywa maji.....
Huhitaji kumshawishi mbuzi akubali kupelekwa kula majani. anabuluzwa tu! Hata alale chini, peleka tu! Baadaye atagundua sababu ya kubuluzwa.Habari zenu wana JF!

Mmeshaanza kuzungusha mikono.
Kwa nini unajidanganya? Hebu nieleze.Naona CCM ndiyo wanafanya kampeni! Upinzani wakianza kunzungusha mikono, Jiwe atachanganyikiwa. Tengua, teua na zinduzi zitkuwa kila siku! Ushukuru ngumi hazijaanza kurushwa hewani!
Nani kakwambia wtz tunahitaji hayo yote uloandika? Push ups tu inatosha kuwachagua tena!
Habari zenu wana JF!