Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020: Sioni hoja za Magufuli na CCM kutushawishi Watanzania tuwachague tena!

Proffesssional article by a Great Thinker..... Mungu akubariki wewe na kizazi chako chote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hatukatai hiyo asilimia 92, lakini mtueleze hizo kura apewe kwa lipi!? Au unamaanisha yeye ndiyo Mungu analeta hiyo mvu, jua nk kama unavyosimulia!?
 
STAFUTAHI YA LEO 11/03/2019
Isaya : 30 : 9 -10.
9- Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya Bwana;
10 - wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo;

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kafanya maendeleo why azuie wengine kufanya siasa ambazo chama chake kinafanya? Nawachukia
 
Kwa hiyo mbadala wake awe nani..nenda kachambie hoja zako..utamdanganya nani zama hizi..unatuletea mambo ya mwaka 47 hapa..hatudanganyiki..kama maisha ya mjini yamekushinda nenda kalime...ardhi ipo kibao kule..
 
Hehehehhe mtakuwa mmetumwa na mashetanisi bure..kama wazungu ndivyo wanavyowadanganya mmebugi men..! Hatudanganyiki..tafuteni wimbo mpya..!
 
Kama kafanya maendeleo why azuie wengine kufanya siasa ambazo chama chake kinafanya? Nawachukia
Subirini wakati wa kampeni ukifika..wananchi hatuna muda wa siasa saizi..mmeshatuibia sana tumechoka...kama hamna kazi mjini nendeni mkatafute mashamba mlime
 
Hahahah hizi nyimbo zimepitwa na wakati..kama ni mafisadi wapinzani walishawasafisha wote...Lissu alikwambia ajenda kwao si ufisadi tena...wimbo huo wananchi walishauchoka na ndio maana wakawakaribirisha watuhumiwa wa ufisadi..unasemaje...braza..tafuteni nyimbo mpya
 
hivi huko upinzani mna hoja gani inayowabeba mpaka sasa; hoja yenu kuu ya ufisadi mlishaiua na muasisi wake kawakimbia kwa sasa yuko upande mwingine.
Hojs za zipo nyingi, tafuta madhaifu yote ya ccm na serekali yake, ukijajua tu basi na yapo mengi tu Kama jamaa alivyodadavua hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari hii hata akipig- za kuning'ia ukutani hapati kura. Uzoefu unatuonyesha wapiga push up hawana maarifa ya uongozi!
Wananchi asilimia 90 wapo nyuma ya Magufuli, sijui una neno..nyinyi mliobaki hata mkikaa nyumbani siku ya uchaguzi haitaharibu chochote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…