Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020 tunaenda kukamilisha ratiba tu, bingwa yupo

Lakini shida inajirudia kila wakati, walianza NCCR Mageuzi 1995, wakaja CUF 2000, CUF wakaridi 2005, CHADEMA 2010, CHADEMA 2015 sasa 2020 wanaonekana kufa rasmi. Nini wanakosea opposition? Mbn wanakuja na kuondoka?
 
Mkuu asante uliona mbali katika bandiko lako umenisema mm pia...2015 tulipambana sana lakin tuliyoyaona kwa miaka 5 yanakatisha tamaa ndio mana hakukua na mbwembwe za kutaka kichinjio kama 2015 ilivokua.
 
Vichwa vinakosa nguvu ya watu
 
Mkuu asante uliona mbali katika bandiko lako umenisema mm pia...2015 tulipambana sana lakin tuliyoyaona kwa miaka 5 yanakatisha tamaa ndio mana hakukua na mbwembwe za kutaka kichinjio kama 2015 ilivokua.
Upinzani ujifunze kuwekeza kwa watu, kila mara wawe karibu yao.. CCM wanawazid hapo, wanakitahidi kuwakamata wale akina mama na wazee... Upinzani una kazi ya ziada. Kwenda ikulu si lele mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…