Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020 una pande mbili

Njiani kuna kura na pia kwenye vituo tayari wamepeleka masanduku ya kura yapo juu ya dari wanasubiria mda ufike wawafukuze mawakala kisha wanashusha masanduku ya kura chini na kuchukua ya chini kuficha kura za Haki
Kwanini upande wa pili na wao wasifanye hivyo?
 
Meko atapigiwa kura na majini na mapepo Ila sisi wananchi tutampa kura zetu Tundu Lisu is a victor

Naona shehe anawaanda majini yakampigie kura mekoView attachment 1611347

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mliopo bongo tuambieni,nasikia gari inazima zima,kunani? Nimepenyezewa kuwa inalazimisha kubeba mzigo wakati hata starter haipigi mpaka isukumwe.
 
Nikikumbuka kuwa Lissu alipigwa risasi 16. Alivunjwavunjwa na mtu anayesema kuwa Lissu hakuwa na haki ya kuishi. Huyo mtu ni jiwe. Lissu ana mke na watoto,ana ndugu na marafiki. Mtu akaamuru auwawe. Hata kama mtu huyo angekuwa malaika, basi. Simpendi jiwe kwa namna zote.
 
Sema mataga mshahangaika maana mnajua ulaji wenu wote unaenda kufa na tunarudisha mfumo wa haki yan
28 keshokutwa ✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿🇹🇿🇹🇿
 
Namba 4! Nadhani mlipofika kigoma kuna mtu alisema wanakunywa maji ya tope so flyover ya Ubungo inamsaidiaje huyo anayekunywa maji kisima kimoja na mifugo?

NB Maendeleo yana chama( "Msiponichaguria Sirinde Sireti Maji hapa")
 
Maendeleo yasiyozingatia haki so maendeleo ya kweli. Maendeleo yanayotokea kama zawadi toka kwa mtu mmoja bila kuzingatia mahitaji halisi ya mlengwa si maendeleo. Wananchi wa Chato wangeambiwa wachague kati ya traffic lights ama uwanja wa ndege ama uwanja wa mpira na maji nina hakika wangechagua maji!
 
Sasa wewe ulitaka kuwe na pande ngapi? Mlitarajia hakuna Uchaguzi mwaka huu kwamba huyo fala wenu angepita tu kama alivyozoea kupita Ubunge...subutu, kwenye Urais hakuna kupaki lorry barabarani
 
Wewe bado haupo huru kifikra huwezi hata kuona kwamba uongozi huu umeua watu na kudhulumu watu mambo mengi. Hakuna haki, upendeleo umeshamiri, umaguzi wa kikabila na kivyama, unashindwa kuona ushenzi huu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…