UCHAGUZI WA MWAKA HUU UNA PANDE MBILI
1. Kuchagua Maendeleo ya Watu na Vitu Kama ilivyoelezwa kwenye ilani ya CCM, ama Kuchagua Unyonyaji wa raslimali zetu kupitia kwa wakala wa mabeberu kama inavyoelezwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA kuwa wataweka rehani madini na raslimali nyinginezo.
2. Kuchagua Mila, Desturi na tamaduni zetu kama ilivyoelezewa kwenye Sera za CCM ama Kuchagua mila na tamaduni za Kigeni kama ilivyoelezwa na Mgombea wa CHADEMA.
3. Kuchagua Amani, Upendo na Mshikamano wa Taifa kama ilivyo sera za Chama cha Mapinduzi ama Kuchagua maandamano, fujo na uvunjifu wa amani kama inavyohubiliwa na CHADEMA.
4. Kuchagua Ujenzi wa Miundombinu mbalimbali na miradi ya Kimkakati kama inavyotekelezwa na Serikali ya Dr. John Pombe Magufuli ama Kuchagua lawama, uzushi na kupinga maendeleo.
5. Kuchagua uzalendo kwa Taifa kama ilivyo kwa Dr. John Pombe Magufuli ama Kuchagua kuwa kibaraka wa mataifa ya Kigeni.
#Kataa wachumia tumbo……
#Chagua Maendeleo