Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020 una pande mbili

zagamba deo

Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
52
Reaction score
28
UCHAGUZI WA MWAKA HUU UNA PANDE MBILI

1. Kuchagua Maendeleo ya Watu na Vitu Kama ilivyoelezwa kwenye ilani ya CCM, ama Kuchagua Unyonyaji wa raslimali zetu kupitia kwa wakala wa mabeberu kama inavyoelezwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA kuwa wataweka rehani madini na raslimali nyinginezo.

2. Kuchagua Mila, Desturi na tamaduni zetu kama ilivyoelezewa kwenye Sera za CCM ama Kuchagua mila na tamaduni za Kigeni kama ilivyoelezwa na Mgombea wa CHADEMA.

3. Kuchagua Amani, Upendo na Mshikamano wa Taifa kama ilivyo sera za Chama cha Mapinduzi ama Kuchagua maandamano, fujo na uvunjifu wa amani kama inavyohubiliwa na CHADEMA.

4. Kuchagua Ujenzi wa Miundombinu mbalimbali na miradi ya Kimkakati kama inavyotekelezwa na Serikali ya Dr. John Pombe Magufuli ama Kuchagua lawama, uzushi na kupinga maendeleo.

5. Kuchagua uzalendo kwa Taifa kama ilivyo kwa Dr. John Pombe Magufuli ama Kuchagua kuwa kibaraka wa mataifa ya Kigeni.

#Kataa wachumia tumbo
#Chagua Maendeleo
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
 
Meko atapigiwa kura na majini na mapepo Ila sisi wananchi tutampa kura zetu Tundu Lisu is a victor

Naona shehe anawaanda majini yakampigie kura meko

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Watanzania wa wapi unawasemea? au watanzania wa hapo gheto unaposhinda ukivuta Bangi?
 
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani? Uzalendo ni kuendeleza uonevu unyanyasaji mateso kwa watumishi wa umma miaka mitano bila nyongeza za mishahara?
 
ni aidha bara ama visiwani... kuna kupata na kukosa... ila hakuna kupata vyote... wote wanataka vyote kwa pupa... ngoja tuone
 
Mungu ndiye mwenye uwezo wa kumlinda mwanadamu,siyo huyo shekhe mganga njaa wala hao waganga.Lissu amelindwa na Nguvu za Mungu kupona kwake,na kama Mungu ameamua awe Rais hakuna wa kupinga
 
Ni bora kuchagua hivyo vya upande wa pili kuliko kuchagua kuongozwa na jitu katili, uaji, limejaa visasi, fisadi, jizi hadi rambirambi, halina huruma, baguzi.
Mtukufu kaburu Mkoloni mweusi tokea chato sasa ni Rais tajiri kuliko Marais wote barani Afrika , mikataba mipya ya madini ni siri yake madini pesa cash vilivyokamatwa airport Bandarini mipakani na zile huzuiwa na BOT zikiwa zimetumwa tokea nje vyote kujimilikisha, kuna 10% ununuzi wa Ndege kuna 10% kwenye miradi yote mikubwa hata tenda nyingi ni kampuni zake na kampuni za ndugu zake na rafiki zake pesa zote zinazunguka zinamrudia yeye kwa njia moja au nyingine.

Anatumia mikwara na kuzuia mikutano ya siasa kwa miaka mitano ili kufanikisha adhima yake akasahau kwa Tanzania huwa hakuna Siri hata ufanye siri zitavuja tu, wanufaika wa huo ulaji wake ndiyo Hushiba mitandaoni wakimtetea lakini wale wenye uchungu na rasilimali za Nchi hii kamwe hawataki hawawezi kuwa nyuma ya mtukufu mwenyekiti wa CCM.
 
Kwani miradi yote mikubwa nina Hisani za CCM? au ni pesa za walipa kodi?
 
Ukitaka siri nyingi za ufisadi wa mtukufu na watu wake mpigie huyo mtu anaitwa sele 0715132277 ni rafiki mkubwa wa Bashite atakupa udhaifu wao wote
 
UCHAGUZI WA MWAKA HUU UNA PANDE MBILI

1. Kuchagua Maendeleo ya Watu na Vitu Kama ilivyoelezwa kwenye ilani ya CCM, ama Kuchagua Unyonyaji wa raslimali zetu kupitia kwa wakala wa mabeberu kama inavyoelezwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA kuwa wataweka rehani madini na raslimali nyinginezo.

2. Kuchagua Mila, Desturi na tamaduni zetu kama ilivyoelezewa kwenye Sera za CCM ama Kuchagua mila na tamaduni za Kigeni kama ilivyoelezwa na Mgombea wa CHADEMA.

3. Kuchagua Amani, Upendo na Mshikamano wa Taifa kama ilivyo sera za Chama cha Mapinduzi ama Kuchagua maandamano, fujo na uvunjifu wa amani kama inavyohubiliwa na CHADEMA.

4. Kuchagua Ujenzi wa Miundombinu mbalimbali na miradi ya Kimkakati kama inavyotekelezwa na Serikali ya Dr. John Pombe Magufuli ama Kuchagua lawama, uzushi na kupinga maendeleo.

5. Kuchagua uzalendo kwa Taifa kama ilivyo kwa Dr. John Pombe Magufuli ama Kuchagua kuwa kibaraka wa mataifa ya Kigeni.

#Kataa wachumia tumbo……
#Chagua Maendeleo
Mpumbavu mkubwa wewe usiye na haya.
 
KURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA

KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)

WAPINZANI HAMPATI KITU.

KUWENI MAKINI
Njiani kuna kura na pia kwenye vituo tayari wamepeleka masanduku ya kura yapo juu ya dari wanasubiria mda ufike wawafukuze mawakala kisha wanashusha masanduku ya kura chini na kuchukua ya chini kuficha kura za Haki
 
UCHAGUZI WA MWAKA HUU UNA PANDE MBILI

1. Kuchagua Maendeleo ya Watu na Vitu Kama ilivyoelezwa kwenye ilani ya CCM, ama Kuchagua Unyonyaji wa raslimali zetu kupitia kwa wakala wa mabeberu kama inavyoelezwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA kuwa wataweka rehani madini na raslimali nyinginezo.

2. Kuchagua Mila, Desturi na tamaduni zetu kama ilivyoelezewa kwenye Sera za CCM ama Kuchagua mila na tamaduni za Kigeni kama ilivyoelezwa na Mgombea wa CHADEMA.

3. Kuchagua Amani, Upendo na Mshikamano wa Taifa kama ilivyo sera za Chama cha Mapinduzi ama Kuchagua maandamano, fujo na uvunjifu wa amani kama inavyohubiliwa na CHADEMA.

4. Kuchagua Ujenzi wa Miundombinu mbalimbali na miradi ya Kimkakati kama inavyotekelezwa na Serikali ya Dr. John Pombe Magufuli ama Kuchagua lawama, uzushi na kupinga maendeleo.

5. Kuchagua uzalendo kwa Taifa kama ilivyo kwa Dr. John Pombe Magufuli ama Kuchagua kuwa kibaraka wa mataifa ya Kigeni.

#Kataa wachumia tumbo……
#Chagua Maendeleo
Mwaka huu Magufuli anateleza tu.
 
Back
Top Bottom