Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Membe na wenzake sita lazima wamchomoe jiwe hapo ikulu kwa namna yoyote ile, hata kwa kutumia ACT au chadema
Tulia wewe uone jinsi jiwe anavyovurumushwa.Ndio kamanda tupo tayari kuwaapisha lissu na membe pale ufipa wawe viongozi wa kuropoka tz
Mkikurupuka Toka usingizini mniambie!Membe na wenzake sita lazima wamchomoe jiwe hapo ikulu kwa namna yoyote ile, hata kwa kutumia ACT au chadema
Tulia wewe uone jinsi jiwe anavyovurumushwa.
Hawa jamaa wapumbavu Sana hawana mgombea wanabaki kurukaruka Mara Mbowe, ooh Membe mara tundu.Ndio kamanda tupo tayari kuwaapisha lissu na membe pale ufipa wawe viongozi wa kuropoka tz
Kwani uchaguzi ni lini?Lini?
Kwani uchaguzi ni lini?
Keyboard worriorMembe na wenzake sita lazima wamchomoe jiwe hapo ikulu kwa namna yoyote ile, hata kwa kutumia ACT au chadema
Hao vijana ni "mashujaa" kwenye keyboardNdio kamanda tupo tayari kuwaapisha lissu na membe pale ufipa wawe viongozi wa kuropoka tz
Kwahiyo mmeridhika na Membe?pole sana, mleta uzi membe anakuumiza sana, act na chadema ni vyama vya watanzania na membe ni mtanzania, achaga kuhangaika
una maana gani? wanaoridhika ni wananchi baada ya michakato kupitaKwahiyo mmeridhika na Membe?
who can?Membe hawezi kuwa msaada kwa upinzani
Kama Kuna kipindi ambacho CCM ilipata upinzani mkubwa basi ilikuwa 2015 wakati wa upepo wa Lowassa, na kama UKAWA ulishindwa wakati ule wasitegemee muujiza wowote 2020.Ndugu zangu,
Zitto sasa anaonekana ni mwanasiasa anayesikiliza tumbo lake na sio wafuasi wake wala falsafa alizowahi kuaminisha kuwa yeye ni muumini wa "siasa za kijamaa".
"Ajizi nyumba ya njaa" sio Zitto wala Mbowe anayeweza kumkataa Membe kuwa mgombea wa Chama chake eti kisa "itikadi" au "wafuasi hawafurahii"
Kwa taarifa za uhakika wote Chadema na ACT wanakimbizana kuhakikisha wanatekeleza masharti ya Benard Membe na wameshaonywa kuwa atakayewahi ndiye "atalamba dume"
Nimalize tu kwa kusema "kiwango cha njaa cha Zitto kwenye medani za siasa kulingana na cha Mbowe muda wowote kuanzia sasa.
Upinzani wapambane wenyewe tu, vinginevyo tutashuhudia yale ya yule mfugaji.who can?
Wewe je?una maana gani? wanaoridhika ni wananchi baada ya michakato kupita