Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Kama Kuna kipindi ambacho CCM ilipata upinzani mkubwa basi ilikuwa 2015 wakati wa upepo wa Lowassa, na kama UKAWA ulishindwa wakati ule wasitegemee muujiza wowote 2020.
Katika kipindi hiki Cha 2020 sioni na hakuna mtu yeyote kutoka upinzani mwenye ushawishi wa kuliongoza Taifa hili la Tanzania zaidi ya JPM himself. Suala hili hata mabeberu yametambua na yameanza kuwa matulivu na kumpongeza JPM baada ya kuona namna jamaa anavyo_ deliver.
Majitu ya upinzani hayana mtu yeyote wa maana na "Potential" wa kuweza kumlinganisha na JPM, hili si tu kwamba linafahamika Afrika, Bali Dunia nzima. Sasa Ni vema Kama wameamua kushiriki uchaguzi Mkuu wasiandae vurugu pale watakapoona wameshindwa kwa sababu hawana watu wenye ushawishi kwa Watanzania na huo ndio ukweli hakuna namna.
Wewe ni mjinga tu,kwani huyo JPM ameshushwa kutoka mbinguni? Hata wewe unaweza kuwa Raisi na ukafanya vizuri kuliko huyo JPM sema Watanzania tupo 50M+ hatawezi sote tukawa Maraisi tunamchagua moja atuongoze kwa kipindi Fulani kipindi chake kikiisha anapisha wengine.
Uache kuandika upumbavu mbele ya watu wenye akili.