Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020: "Zitto kufikia viwango vya njaa ya Mbowe kwenye medani za siasa"?


Wewe ni mjinga tu,kwani huyo JPM ameshushwa kutoka mbinguni? Hata wewe unaweza kuwa Raisi na ukafanya vizuri kuliko huyo JPM sema Watanzania tupo 50M+ hatawezi sote tukawa Maraisi tunamchagua moja atuongoze kwa kipindi Fulani kipindi chake kikiisha anapisha wengine.

Uache kuandika upumbavu mbele ya watu wenye akili.
 
Jenga hoja acha kutoa povu
 
Jenga hoja acha kutoa povu

Kuna Watanzania wengi tu ambao wanaweza kuwa Maraisi bora kuliko huyo JPM wenu munayemtukuza lakini sisi ni jamii ya watu wastaarabu haiwezekani site tutake kuwa Maraisi kama ilivyo kwa Wasomali. Sasa ustaarabu ukimaliza kipindi chako wapishe wengine waonyoshe uwezo wao,waliomtangulia wengekuwa wabinafsi kama yeye angepata nafasi ya kuongoza.

Nyinyi wapambe njaa muzingua sana.
 
Ila sio tundu
 
Tangu lini alitosheka huyo Kaka? Zitto anatamani kutuuza watanzania wote kwa wazungu sembuse na hako kakikundi ka ACT kasikofika hata watu elfu hamsini? Atawauza mchana kweupe.
 
Tangu lini alitosheka huyo Kaka? Zitto anatamani kutuuza watanzania wote kwa wazungu sembuse na hako kakikundi ka ACT kasikofika hata watu elfu hamsini? Atawauza mchana kweupe.
Duh,hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…