Alloyce PR JF-Expert Member Joined Nov 15, 2020 Posts 817 Reaction score 881 Jun 11, 2025 #1 "Si kila mnyama wa porini huweza kuvuka msitu wa siasa; ni yule anayejua kufuata njia kwa akili, subira, na ujasiri atakayevuka salama. Ukitaka kuvuka salama, acha ujanja wa Sungura badala yake chagua hekima ya Ngiri."— Alloyce, P.R.
"Si kila mnyama wa porini huweza kuvuka msitu wa siasa; ni yule anayejua kufuata njia kwa akili, subira, na ujasiri atakayevuka salama. Ukitaka kuvuka salama, acha ujanja wa Sungura badala yake chagua hekima ya Ngiri."— Alloyce, P.R.