Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Japokuwa nipo Igunga kwa shughuli za kibiashara Lakini mimi kwetu ni Mwanza . Kwa Sasa ni jimbo la Ilemela.
Nalifahamu hili jimbo kwa mapana maana nimezaliwa na kukulia huko. Nitawatumikia watu wa Ilemela kwa moyo kunjufu.
Sitatoa rushwa wala hongo. Najitambua mimi ni mchapa kazi. Jambo ambalo linanisumbua ni kuwa mpaka sasa sijajua nitagombea kwa chama gani.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikitokea mgombea binafsi akaruhusiwa nitafurahi zaidi.
Idu... Wa Igunga.