pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Ndugu zangu habarini za Alhamisi.
Ninaleta wazo kwenu kwenye uchaguzi wa 2025.
Tukumbuke kuwa kwa sasa vilio vingi ni mambo ya TOZO kila uchwao, haya yametokea kutokana na ubutu wa Bunge letu hasa kutokana na kuwa wabunge tupu wa CCM ambao wamekuwa wanashindwa kuibana Serikali hasa katika masuala ya wapiga kura wao.
Pendekezo:
2025 kura za uraisi tumpe Mama SSH lakini kura za Wabunge tuwape Wagombea wa Upinzani
Natoa hoja.